Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,922
We chalii weweee!Ingia chimbo la Kimboka mkuu hutojutia.
We chalii weweee!Ingia chimbo la Kimboka mkuu hutojutia.
Next nina meeting na mchumba nataka nikutane naye Buguruni ingawa sivijui vizuri viwanja vya pale Nipeni location
Pub gani nzuri au mahalo pazuri nitulie na mtoto JoJo kuwe lodge muhimu Sana![]()
Mbna buguruni pako fresh tyuuh.Mlongoo acha Kabisaa tuna kibanda kulecha urithinatamani kukihamisha nikiweke ht mbagala mbande,uzuri wa paleni centre yaani Kama magomeni vile popote unafika mda wooote ndani ya Dar
kavurugwa afu kavurugwa Tena!!
kanikumbusha jirani yetu alivyoibiwa jungu la ubwabwa afu siye tukaibiwa ndala







Aka bahari ya nnyaFika viwanja vya buguruni SPENCON pale hutajutia
Hahahahah swimming pool za nnya zile 😂😂😂Aka bahari ya nnya
twenzetu buguruni basi tukale maisha 😊😊watu wamevurugwa wallah, khaaah.
baada ya kwenda ndio ukajua eneo la kulala au wageni eehWhite Rose pia nyuma ya rozana
Nilidhani nyumba ya kuishi mwanzoni
Noma sanaHahahahah swimming pool za nnya zile 😂😂😂
hauko serious buguruni itulie?wapii?ghana?malapa?rozana?kwa mnyamani?kwa biti madenge?au pale sheli?haipo ndugu yangu na labda izaliwe upyaa...
![]()
