Ni Nigeria
ni gari ya ukweli sana inaonekana... hapa tanzania hamna mtu mwenye nayo kweli? kuna siku nilicheki Rolls Royce phantom mitaa ya masaki
ni gari ya ukweli sana inaonekana... hapa tanzania hamna mtu mwenye nayo kweli? kuna siku nilicheki Rolls Royce phantom mitaa ya masaki
Rolls Royce phantom mbona bei yake haitishi sana mkuu....
ukijipiga piga unaweza inunua eti?
jinsi buggati inavyotengenezwa. inahaki ya kuwa that expensive
Hela za shetani zinaishia kwa wenyewe, hata siku moja huwezi kuzifanyia cha maana..!!View attachment 100145
Buggati Veyron hiyo.
inatengenezwaje mkuu,nijuze maana huwa naisikiaga tu.