Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Achana na biashara za kukaanga kitimoto na sema bucha la kitimoto chenye chuki kubwa duniani ila ndio nyama tamu ya kumtoa ubwabwa jikoni.
Watu wanasema fursa hakuna ila fursa zipo japo nchi ya utawala wa ovyo ndio shida.
Bucha classic ambalo utatoa maelekezo wasio tumia kuwa sio sehemu yao. Huku kukiwa umeweka ndani ya bucha nyama ya ng'ombe, kuku, mbuzi na baba yao chuki pendwa ili kuvutia wanunuzi wa mboga wanazotaka.
Ili jambo nimejifunza nchi za Who are you kuna mabucha wanasema haramu na sio haramu na pako shwari kabisa.