Ukiwa bongo unaozea jela.....maana hizo zote ni nyara za Serikali.
Jiulize kawawinda aje wote hao alafu wewe jichanganye kuja kumshikaHuyo jama sehemu ambayo alikuwa anafanyia biashara sheria hazipo.
Kwa sababu hao wanyama ni mali asili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia wanakula hadi Tumbili/Nyani/Ngedere/KimaUroho wa nyama hauwezi kumwacha mkongo salama
wale kenge aliowasema Magufuli?Nasikia wanakula hadi Tumbili/Nyani/Ngedere/Kima
Hiyo ndo wanapenda sanaNasikia wanakula hadi Tumbili/Nyani/Ngedere/Kima