kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,360
- 13,465
Du Huyo mnyama labda umpulizie unyunyu ukitaka kula nyama yakepima nusu kilo ya nguchiro
Du Huyo mnyama labda umpulizie unyunyu ukitaka kula nyama yakepima nusu kilo ya nguchiro
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji23]wale kenge aliowasema Magufuli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama nimeona ngawa hapo?
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Hainaga uharamu hiyoAiseeh!namuona kama kaka kuona hapo km ni yeye basi binadamu[emoji119] [emoji119] [emoji119]
kwa mlo huo ebola haiachi mtu salamaNasikia wanakula hadi Tumbili/Nyani/Ngedere/Kima
Kweli!!!!???
Akusombile Nnungu cha kumemena pasopa wenaBinadamu bwana,uroho gani huu..yaani kila kitu anataka ajaribu