Btn her leg ni noma!

Btn her leg ni noma!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Kuna jamaa mmoja alikuwa stranded katika kisiwa fulani.Pale kisiwani palikuwa na mti mmoja tu.Yule jamaa akaukata ule mti ili aandae mtumbwi utakaomsaidia ku-escape pale kisiwani.Mara ghafla akamuona mwanamke mzuri ambaye naye alikuwa stranded pale kisiwani.Jamaa akabadili uamuzi,badala ya kuchonga MTUMBWI akachonga KITANDA kizuuuri.
 
dah hakuwaza kabisa,ina mana huyo msichana ndo atamsaidia kutoka ziwani?
 
Akimaliza shughuli za kitandani akili itamrudi km kawaida na ndo atakapopata maamuzi ya kutoka kisiwani
 
Ukware nomaaaa! Jagua ulanzi vp? Umeshashuka bei,niandali mtogwa nije nilie mabanzi
 
Hapo angechonga kwanza boti halafu mengine baadaye
 
Apo ndo maanake hakuna kutoka tn kisiwani kwani atakosa nn?
 
Back
Top Bottom