BSc. Petroleum Chemistry Vs BSc. Petroleum Engineering. Ni kozi ipi ina uwanja mpana wa Ajira?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,327
8,243
Habari za Leo wakuu,

Naombeni kuuliza kati ya hizo kozi mbili tajwa ni ipi ina uwanja mpana wa ajira kwa hapa Tanzania?

Na ni ipi ipo wide?

Natanguliza shukrani.
 
ingawa sijasoma engineering but kwa uelewa wangu!

petroleum chemistry is all ambout laboratory work ya petroleum, yaani kazi zake nafikiri ni kudeal processing ya petroleum ikiwemo hata kutengeneza other products from it. yaani wewe unadeal na chemicals sana

petroleum engineering nafikiri hii inakuja baada ya chemistry, hapa labda kusafirisha, kutengeneza/constructions mitambo inayotumia hiyo kitu na managements yake

ki-jina jina hiyo petroleum chemistry naona iko more deep sana kwenye petroleum, but sijui kama kibongobongo kweli kuna makampuni yanafanya vitu hivyo
 
Okay, ahsante sana kwa ushauri kuntu mkuu
 
Back
Top Bottom