BSc. in Biology vs BSc. in Environmental Science

amoc thedon

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
358
Reaction score
561
Jaman kama kuna mtu aliesoma course hizo hapo ama kama kuna mtu mwenye uelewa nazo, kuhusu jinsi zinavyo tolewa na upatikanaji wake wa ajira ikiwa ni pamoja na maeneo unako weza kufanya kazi (application) kwa kila course husika, naombeni anisaidie [emoji120]
 
Jaman kama kuna mtu aliesoma course hizo hapo ama kama kuna mtu mwenye uelewa nazo ,kuhusu jinsi zinavyo tolewa na upatikanaji wake wa ajira ikiwa ni pamoja na maeneo unako weza kufanya kazi (application) kwa kila course husika, naombeni anisaidie [emoji120]
All in all zote ni flat degree sio professional degrees
 
Toa jibu ndugu ,, masuala ya bachelor achana nayo kama hautambui pita uku
sio mjuzi sana labda nilijua hilo ni daraja jipya la elimu.

Kama ni bachelor chukua environmental inacovarage nyingi naona hata watu wa marine wana sehemu ya Marine environmental protection ..Ni pana sana naona kwa maoni yangu🙏
 
Piga environment.

Sasa hivi ulimwengu hasa wa ulaya na Marekani focus yao iko kwenye mazingira.

Mazingira ni mojawapo ya fani yenye fursa nyingi sana mbele kuliko bailojia.

Biology ina fursa lakini huku kwetu ziko very limited.
Ahsantee ndugu
 
sio mjuzi sana labda nilijua hilo ni daraja jipya la elimu.

Kama ni bachelor chukua environmental inacovarage nyingi naona hata watu wa marine wana sehemu ya Marine environmental protection ..Ni pana sana naona kwa maoni yangu[emoji120]
[emoji2][emoji2][emoji2]daraja jipya la elimu, ahsante sana ntazingatia ushauri wako
 
Jaman kama kuna mtu aliesoma course hizo hapo ama kama kuna mtu mwenye uelewa nazo ,kuhusu jinsi zinavyo tolewa na upatikanaji wake wa ajira ikiwa ni pamoja na maeneo unako weza kufanya kazi (application) kwa kila course husika, naombeni anisaidie [emoji120]
Degree ya somo yenye maslahi ni ya kemia tu hizo zingine majanga hapo pigs Environmental
 
Kama unasoma hili uajiriwe ni heri usisome. Lakini kama unasoma kwa ajili ya passion na kuchota some knowledge kuhusiana na Mazingira ama Biolojia ya viumbe hai, safi nenda kasome.

Sababu Kuu ni Dunia now days, imesha-drift utaajiriwa kwa skills fulani na sio umesomea nini! Tatizo la ajira lipo na linakuwa kwa kasi kubwa kwa sababu tayari Machine (AI Operations) zimeshaanza kum-replace Mwanadamu kwa kiasi kikubwa.

Elimu ya Mazingira inakuonyesha jinsi gani Mwanadamu ana-interact na nature ama asili kupitia shughuli zake za kila siku. Kupitia shughuli za Mwanadamu outcome yake nini kwenye Natural Environment.
Pia itakudadavulia different sphere za Mazingira ikijumuisha Atmosphere, Biosphere, Hydrosphere and Geosphere.

Elimu ya Biolojia, utawasoma viumbe hai, In and Out. Hili kujua mifumo mbalimbali ya miili yao inavyo-operate. Mifumo hio ni Coordination system, Excretion System, Digestion system, Reproductive system, Growth System na Locomotive System n.k.
Pia utapata kujua Kingdom mbalimbali za wanyama kupitia classification na distinctive features zao.

Kila kitu ni wewe mwenyewe, kwa maana kwenye Biolojia Kuna Mazingira na kwenye Mazingira kuna Biolojia.

Good luck Pal'🙏
Almighty God be With You,
I hope you have got something to Guide you.​
 
Good luck Pal'[emoji120]
Almighty God be With You,
I hope you have got something to Guide you.​
Dah nimepata kitu ahsante, lkn ata hivyo nlikua nahitaj ushauri pia ,
In professional me ni mwalim wa physics na biology hivyo nilihitani nisome degree ila nje ya ualim wangu, baada ya tafakar na ukilinganisha na aina ya elimu ninayo taka kusoma ni OPEN UNIVERSITY hivyo nikahis kati ya degree hizo mbili naweza soma ata nikiwa naendelea na kaz bila tatizo,
Hivyo nakaribisha ushauri pia kama ntakua sahihi ama ndivo naendelea kupotea maana nahis sitoweza kufundusha kwa mda mrefu zaid
 
Specialize kwenye Bios hili uwe chuma Zaidi.
 
Back
Top Bottom