Wanafunzi wa udsm, udom, dit na uba wa BSc in Chemestry huwa mnafanyia fiel wapi?

Tommy 911

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
538
359
Rejea kichwa Cha habari hapo juu.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza(degree) nasoma bachelor of science in chemistry. Nahitaji msaada wa maeneo ya kufanyia field nikifiki mwaka wa pili Kwani mwaka wa kwanza nilipata shida kupata hivyo kwa wanafunzi wanaosoma hii course udom au udsm na laboratory technology dit naombeni msaada wenu nijue ni maeneo gani mnayofanyiaga ili mnipe connection niwezi pata kwa urahisi ( mkoa wa Dar es Salaam tu ).
 
Sasa kama field kupata tabu. Ukimaliza si msala huo mkuu?? Anyways jaribu viwandani although sijajua upo Mkoa gani ningekushauri zaidi.
 
Rejea kichwa Cha habari hapo juu.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza(degree) nasoma bachelor of science in chemistry. Nahitaji msaada wa maeneo ya kufanyia field nikifiki mwaka wa pili Kwani mwaka wa kwanza nilipata shida kupata hivyo kwa wanafunzi wanaosoma hii course udom au udsm na laboratory technology dit naombeni msaada wenu nijue ni maeneo gani mnayofanyiaga ili mnipe connection niwezi pata kwa urahisi ( mkoa wa Dar es Salaam tu ).
Unachosama kweli ni wito wako au fata mkumbo?? Dar pekeake ina viwanda zaidi ya 30 vya chemical, ata Magodoro Dodoma ni kiwanda cha kemikali
 
Tatzo sio viwanda tatzo kupata...unatuma barua hujibiw ndo maan natak nijue sehem ambazo wengn wanafany

Sio kila sehemu wanapokea wanafunzi wa field.
 
Rejea kichwa Cha habari hapo juu.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza(degree) nasoma bachelor of science in chemistry. Nahitaji msaada wa maeneo ya kufanyia field nikifiki mwaka wa pili Kwani mwaka wa kwanza nilipata shida kupata hivyo kwa wanafunzi wanaosoma hii course udom au udsm na laboratory technology dit naombeni msaada wenu nijue ni maeneo gani mnayofanyiaga ili mnipe connection niwezi pata kwa urahisi ( mkoa wa Dar es Salaam tu ).
Nichekiiiii 0744913306 normal text
 
Back
Top Bottom