Bruuuum, bruuuuuum

Nimeipenda sana hii product.
Tatizo barabara zetu zitasababisha usake vipuri kila unapoenda service...

Ngoja niiangalie zaidi

naona hizi barabara zatunyima mambo mengi , mazuri na matamu ..

Je hii ndo solution??


barabarani inakubalika..


barabara inama kongoro "full power" takeoff...


mafuta kokote (sina uhakika kama inatumia Avgas, Petrol, diesel ect)


una paki kwenye garage kama kawa..

Je hi ndo solution kwa TZ??
 
Mie naangalia kama vile nchungulia zile figures za kuchakachua za Wachina!!
 
Mie naangalia kama vile nchungulia zile figures za kuchakachua za Wachina!!

Babu DC Shkamoo
na karibu kipandee hii ..
tuafurahia tu "creativity" si mbaya
kujifurahisha na kufuatilia ukipendacho..
 
Babu DC Shkamoo
na karibu kipandee hii ..
tuafurahia tu "creativity" si mbaya
kujifurahisha na kufuatilia ukipendacho..

Ahsante sana kajukuu....Tazameni tu kwani ndiyo wakati wenyewe.

Mama yangu alipenda kunambia kuwa ukihisi njaa na wakati huo chakula kipo...kula tu kama mchwa kwani saa yaja utakapokiona na wala hutaweza kabisa kukila au utakuwa na njaa ila msosi hakuna!!

Yatendeeni haki macho yenu na matamanio yenu ila msivuke mipaka na vizuizi!!

Mimi kwa umri huu Bajaj au Baiskeli ya Phoenix/Ralei inanitosha!!
 

hiki kitu matata, katika movie ya transformers 2, hiki kitu kilikua kibaya kibaya halafu kilenda yard chenyewe, wakati kinanunuliwa hata yule boss hakujua limekujaje maana kwenye inventory yake hakukua na kitu kama kile, teh teh, basi baada ya kuanza kujishauri kulinunua lilifanya mambo magari yote katika yard yakapasuka viyoo vyote ila lenyewe tuu likabaki shwari? msela alikubali ile bei fasta, napenda yana hiyo pua yake na **** lake, na hiyo mistari miwil mieusi, du sijui natliendehs lini hilo,
 
hiyo clip nimeipata katika wesite ya kichina, kuna mambo ya kufa mtu ila tatizo lugha, kama unafagilia ntakutafutia vitu kibao na utaenjoy, kuna documentary kama za mega factories,

check this one Mega Factories Audi R8 bonyeza link hiyo chini
Mega Factories Audi R8
 
ehhhh
kumbe wapenzi wa Jeep wako wengi humu ndani ..<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" />

wanazipenda kisa ni zawadi kutoka kwa anko lundenga kwenye kwa miss bahati mbaya(sababu ni kutokana na ajali ya meli siku ya shindano)..
 
Wanaiharibu labda siyo kuiongeza, maana ozone layer siyo kitu kibaya. Kitu kibaya ni hizo gases zinazoiharibu na kusababisha global warming.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…