Brothers, AIDS is real; tuache ngono zembe

Unaazaje kupiga peku lijanamke ambalo hata haulijui hali yake ya kiafya? Si ni bora nijiunge na chama pendwa cha chaputa
Hamna, unapiga juu juu na unahakikisha huzamishi yote, pia asiwe dry sana. Na ukitaka kukojoa chomoa kojolea juu ya msambwanda wake.
 
Umeenda kwenye mada tayari?
 
Acheni ngono zembe, lakini pia kuwe na commitment kwa watu wawili waliaomua kuhusiana.
All in all hapo juu, bado sio guarantee ya kutopata Ukimwi. Hapa ndo linapokuja suala la kuwa na positive psychology wakati wote.
 
Hapo juu wapi?
 
Umetumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…