kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
Hakijanikuta chochote brotherKinyamkela mdogo angu yamekukuta nini?
Wewe hapo!Nani kakuambia UKIMWI haupo?!
Hapana, mimi ni mzima wa afya.Pole sana mkuu kula vizuri ,fanya mazoezi,utaishi kwa matumaini
Ila upo safe zoneTunajua sana ila kujisahaulisha tu🙄
Sasa yule kibopa wa bandarini umuache.Tunajua sana ila kujisahaulisha tu🙄
Ndo yupi tena,afu nipo mbeya huku bandari nami wapi na wapi mkuu.Embu simamia mada yako tafadhaliSasa yule kibopa wa bandarini umuache.
Hivi kama analoa unapataje maambukizi sasa??"mimi huwa situmii condom nakulaje pipi na maganda yake namuandaa vizuri sana mpka analoa "
Baada ya mda kupita View attachment 2225309
Hapana! Hao wanaomeza njugu ni akina nani?*umeenda dry mkuu? *
Njoo Chaputa km unataka kutomeza njugu now 60% wanameza njugu
Kisamvu Gani ulichokula kikakufanya uzungumzie AIDS?Helloooowww, to everyone here.
Watu wengi hawaamini maisha anayoishi mtu kwa kuwa anaongea kiingereza na anaonekana msomi. Wengine tumeamua kuwa real na ku fake kwetu ni MWIKO. Kama sina nitasema sina.
Kama nimekula kisamvu nitasema kisamvu na sio nyama. Slogan yangu ni 'no faking'.
Niende kwenye mada, UKIMWI upo tuache ngono zembe.
Tutumie kinga kwa usahihi.
Asubuhi njema.
Hii picha imenitafakarisha sana, japo nilishaamua kuavhana na mambo ya ngono lakini kuona picha za 90s inaogopesha sana. Picha za namna hii tulishazisahau."mimi huwa situmii condom nakulaje pipi na maganda yake namuandaa vizuri sana mpka analoa "
Baada ya mda kupita View attachment 2225309