Brother wangu kama masihara ametimiza miaka 40 akiwa bado kula kulala

Kwa Wanyaki hio ni kawaida mbona😅 wala usishangae! Wakiamua lao kama ukoo ujue mama yako ilikuwa lazma asepe tu! Wasingemuacha salama
mzee ni wapare nimeshangaa sasa nimekuwa mtu mziama now naelewa inakuwaje wanamkandia wifi yao mama yetu wao wamezalishwa home na kutelekezwa mtu ana watoto wanne kila mtoto na baba ake

wnawake we acha tu
 
Hahahahaha ni noma mzee
 
Unaambiwa bado hana anachofanya yupo tu kungojea ugali wa shikamoo mama.

Aaah, wapi. Huko ni kuhukumu mambo through armchair-thinking. Lazima mumchunguze huyo jamaa. Huenda ana mi-assumptions kibao hapo mwenyewe anakwenda hatua kwa hatua kuya-confirm. Huyo ni msomi wa Masters kumbuka. Huyo dogo wake asikurupuke kama tulivyozoea wabongo. Amfanyie uchunguzi wa kina tafadhali.
 
hii hali ni mbay sana kwa sasa inaweza isionekane na hasa kwa familia za kishua!
hizi za kwetu unajiongeza mapema kwa kujifunza hata boda boda!
hali ni mbaya na kwa bahati mbaya zaidi serikali inakuja na majibu rahisi sana kwa maswali magumu.
 
Mimi mwanangu siwezi kumfukuza nyumbani kisa kafulia. Hizo ni roho za kikatili sana za wazee wa miaka ya 70 au 80. Tatizo la kiuchumi ni kubwa sana muache mtu ajipange.
ipo siku mtayakumbuka haya maisha kwa malezi ya wakati huo na kwa bahati mbay hamtayaona kwa kuwa tunayaona ni ya kishenzi.
pamoja kuwa babu na bibi wamesoma na facilities za mjini kwa kuweza kuishi maisha ya kawaida kwa angalau likizo ya mwezi mmoja bado watoto hawaendi kwa bibi zao na tumebaki tunawasikiliza wake zetu wanapotuambia mama yako mchawi na vichungaji uchwara kweli? tunaamini kufauru mitihani ndo mafanikio yetu na kuwakazania tution na si maisha ya kawaida.
sintashangaa kusikia hapendi hata kufanya kazi ndogondogo kwa mazingira yake.
 
Usimfukuze mtoto nyumbani kisa kafulia mpe mbinu mbalimbali ndio umtume aende huko Dar unakotaka kumfukuzia.

Watoto wamekuwa machangudoa na mashoga kwa kukosa support ya wazazi.

Kuna mabinti wamemaliza chuo wametafuta kazi kweli kweli na kurudi nyumbani wanaogopa, wameishia kuwa machangudoa na wadangaji wa Instagram.

Mzazi mwenye akili timamu anampa mtoto wake hata mtaji wa kufuga kuku na bustani hapo nyumbani badala ya kumfukuza eti akapambane.
 
Ndugu yangu mpangaji ni Mungu na hakuna aijuae kesho yake. Watu wanapitia mengi sana katika miaka yake 40 hiyo amini kuwa anaweza kuwa na mengi sana moyoni mwake ambayo akikwambia yakawa kama shule kubwa sana kwako. Kikubwa kaa nae zungumza kama unao uwezo wowote wa kumsaidia msaidie.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Wengi waliotoboa maisha walisaidiwa ,nashangaa ni wachache sana wanabaki kusemana bila kusaidiana.
 
Back
Top Bottom