Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Ni akili za kipimbi kufikiria kwamba ipo siku Mo Dewji ataishi maisha ya kuboom kama wewe na atahama Masaki na kuhamia Tandika. Huu ni upuuzi wa kiwango cha PHD.MO anajiona mighty, but he shall fall too! Mama Tanzania amewachoka matapeli kama hawa!
Diversity my ass, toka lini gabacholi akakuona wewe wa maana, mpaka hii leo wangapi katika hao magabacholi wenye hela wameoa mswahili au mbantu?! Wako tayari hata kuleta mchumba toka nchi za mbali ili uhindi uendelee, wanachopenda kwako mtu mweusi ni nguvu zako, pesa yako BASI! Wakiwa na makampuni kama hivi, post zote za juu ni magabacholi wenzao, haijalishi hata kama sio raia..This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Usichokijua ni kua yule sio muhindi,yule ni mtanzania ,sasa nashindwa kukuelewa ulichoandika,.kufungua kampun india manake nin,na inaingiliana vp na Mohivi unaweza kufungua company india na usiweke muhindi kwenye top management?? hata accountant ??? h ha ha
Hiyo ni asili yao toka enzi za mababu wako hiyo. India wanao mfumo wa caste ambao umetenga jamii katika makundi. Kuna shudra,ibrahimin na mengine mawili. Kuna kundi la mabwana mkubwa wa kati na watwana na hawaoleani. Hivyo ubaguzi hawajaanza Tanzania waelewe hivyo.Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Hata sisi wenyewe kwa wenyewe huwa tunabaguana sijui USIOLEWE NA MHAYA, MARA MCHAGA MARA MKURIA, Kama sie kuna makabila hatuyataki kuna tatizo gani kwa wao kukataa weusi?? Tena heri ya sie weusi utamaduni wetu mwingi wafanana, tofauti na mdosi akaolewe na msukuma umwambie asonge ugali ndoa itakuwa ngumu kwake Zaidi..KWAHIYO KAMA SIE TUNAVYOBAGUANA KWENYE MAKABILA SIONI TOFAUTI KWAO, Japo wapo wahindi wachache walooa na kuolewa na weusi.Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Ubaya anao utendea nchi yetu, 40 yake iko mlangoni! Na wewe kibaraka kuwa mzalendo, duh! Unatia aibu!Fanya kaz ,tumia akil,acha lawama,.kutapeli nayo ni akili,boya hawez na hana guts.
For your information yeye ni jirani yangu! Kibaraka, mtu mzima ovyo kabisa!Ni akili za kipimbi kufikiria kwamba ipo siku Mo Dewji ataishi maisha ya kuboom kama wewe na atahama Masaki na kuhamia Tandika. Huu ni upuuzi wa kiwango cha PHD.
Hujaelewa madaHii ni Sifa ya kike kuwa mbea Labda kama we ni KE BT mbona Birthday yako huwa hualiki wahindi??
Hii ni moja ya sababu hana mtu mweusi ata mmoja huyu jamaa namkubali sana wanasemaga hivi honest is an expensive thing dont expect it from cheap peoplekuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Tupia hiyo picha hapa tumchambe!kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.