Brother Mo Dewji, seriously??

Inferiority Spirit
 
Tupia kapicha mkuu tuone mo anavobagua watanzania wenye ngozi nyeusi, ilhali anajitanabahisha kua nae ni mtz
 
Sisi weusi tukisoma ukapata degree moja tu hatutaki kuajiriwa na wahindi tunaona ni kujidhalilisha, tunaoajiriwa na wahindi ni wafanyakazi wa ndani na madereva sasa kosa lake lipi kukosa mweusi kwenye Top management yake?
 
mkuu tapeli ni wewe pekeyako, sisi watanzania ni wachapa kazi hodari sana
 
Watanzania hatuaminiki wengi sana ni wezi, waaminifu wachache , njoo hapa KAMAKA tabata (kampuni inayouza vifaa vya ujenzi) kuanzia mapokezi na vitengo vyote vya fedha wapo WARUSI na wanakijua kiswahili vizuri huwateti hata kidogo.
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Juzi tu hapa tulikuwa tunamtetea TAPELI Yusufu Manji mpaka povu linatutoka, tena yeye Kaimport kabisa ma EXECUTIVES toka INDIA ambao hawana hata WORKING PERMITS lakini tumemporomoshea MATUSI Mazito AFISA UHAMIAJI Kwa kuwakamata leo mnakomaa na Mo. Mibongo/Mijitu myeusi haijielewi na hata watu weupe wote wanalijua hilo maana hayajui hata yanataka nini !
 
Sisi Wizi ndo tabia yetu ndiyo maana Rais anakomaa kusafisha.
Tatizo la wabongo wanachojua ni miporojo, kuporomosha matusi mitandaoni, kuzusha tu, kujifanya wanajua kila kitu, kutukana kila mtu mpaka rais. Juzi tu baada ya kusubiria ajira kwa muda mrefu niliamua kwenda kutafuta kazi kwenye kampuni ya ulinzi cha kushangaza nilikuta vyeo vyote pale vizuri vya ofisini wameajiriwa WAHINDI na WAKENYA, Wabongo kazi zao ni magetini tena kwa masimango matupu. Lakini mambo kama hayo hauwezi kuona yanajadiliwa tena ukiwagusa UTATUKANWA BALAA na BAVICHA
 
Wao wanataka BUNGENI, MASHIRIKA YA UMMA, MALECTURER VYUONI na MAHOSPITALI MAKUBWA huko ndio wanajiita RAIA ukitaka huko kwingine sijui NURSE, MWALIMU SHULE YA KATA, POLISI, TRAFFIC Wanakuambia wao sio raia....
 
Kama kuna Mzungu anazo sifa na anataka kuwa mbunge Tanzania labda mwenyewe asitake tu, mbona wabunge WAHINDI wengi sana na tena huko ndo wanakokutaka
 
Hiv kwanin tunapenda kujipendekeza namna hii?yaan hatuamin kujiwezesha ila kuwezeshwa tuu kila siku.yeye kaweka watu anaopenda yeye,biashara za familia zile,hao nduguze tuu wanataka kaz aje akuchkue wew kivip..sio shirika la uma lile..thrive kwa vyako.
 
Mo mwenyewe ni Mtanzania. Kama ni rangi yapo makampuni na mashirika mengi yenye wafanyakazi weusi tu bila kuwapo mwenye mhindi,mwarabu wenye asili ya Tanzania. Iweje kwenye kampuni binafsi tena ukute ni ya ukoo. Pengine nafasi hizo hazina mshahara.
 
Ni kweli hapa IPP ya Mengi bila kuwa mchagga hupati cheo cha maana wala maslahi mazuri
 
Utakuwa mwarabu koko wewe
 
Hii ni Sifa ya kike kuwa mbea Labda kama we ni KE BT mbona Birthday yako huwa hualiki wahindi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…