kulikuwa na mtanzania mwenye asili ya kihindi akiwa waziri wa mambo ya ndani kama sikosei kipindi cha KikweteKweli hakuna mtanzania mwenye vigezo?
Inawezekana kweli Wahindi wanajibagua sana, tukiacha wale wahindi wa Zamani wazalendo waliokuwa Polisi, jeshini nk. Hibi kweli kwa miaka hii umeshawahi kumuona Muhindi Mwanajeshi, Police, uhamiaji, Fire, Magereza nk. Au kwenye ofisi yoyote ya Seriakli au Wizara yoyote?
kulikuwa na mtanzania mwenye asili ya kihindi akiwa waziri wa mambo ya ndani kama sikosei kipindi cha Kikwete
kipindi cha Kikwete nakumbuka ila jina limenitoka alikuwa Waziri wa mambo ya ndani mwenye asili hioKipindi cha Kikwete?, sidhani au unamzungumzia Amir Jamal wa kioindi cha Nyerere?, wakati wa Nyerere walikuwa wengi tu Mapolisi, mahakimu nk
Anaitwa gulamali.kipindi cha Kikwete nakumbuka ila jina limenitoka alikuwa Waziri wa mambo ya ndani mwenye asili hio
hahahahaaaaaAnaitwa gulamali.
He is very serious ndiyo anaowaamini na utakuta ni raiakuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Bila shaka huyo ni Abood. Kwa sasa ni waziri serikali ya mapinduzi.hahahahaaaaa
nafikiri atakua ni huyo,asante sana mkuuBila shaka huyo ni Abood. Kwa sasa ni waziri serikali ya mapinduzi.
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
hata kapuya akiwa waziri wa kazi alisema sisi weusi ni wadokozi sana, siyo matusi hayo?!He is very serious ndiyo anaowaamini na utakuta ni raia
Hivi nyie mnaolalamika mmeajiriwa na Mo? Mambo ya ngoswe muachieni ngoswe mwenyewe kapalilieni mahindi kabla mvua hazikata msije lia njaa mkasema tena mbona Mo yuko dining table na wanawe tu wakati watoto wa jirani wanalia njaaHata mimi nilipoiona hiyo picha nipata maswali ambayo ilibidi nikae tu kimya
Mo ni mtoto wa Dar na anawajua ndugu zake wa Kitanganyika kwa kupiga ma deal unadhani mjinga akawaweke katika kampuni yake? Mnapewa makampuni ya umma mnaiba je mtashindwa kumuibia mtu binafsi.kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Achia ubaguzi. Mo anajua watanzania golo ni matapeli na wezi hivyo hata ningekua mimi nisingeajiri. Mbona hamuulizi Anthony Diallo aliyewajaza wazungu Sahara???? Hakuna mtanzania ambaye ni kamili ataajili watanzania kushika nafasi za juu ukiona hivyo ujue na yeye ni longo longo.Ubaguzi mpaka kwenye miguu na bado mtaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe wenye kusikia watasikia:Msikilize mwenye Chama Chake
Achia ubaguzi. Mo anajua watanzania golo ni matapeli na wezi hivyo hata ningekua mimi nisingeajiri. Mbona hamuulizi Anthony Diallo aliyewajaza wazungu Sahara???? Hakuna mtanzania ambaye ni kamili ataajili watanzania kushika nafasi za juu ukiona hivyo ujue na yeye ni longo longo.