laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,757
unataka mswahili umuoe muhindi uende ukamlishe makande na bamia?Mkuu hao jamaa ni wabaguzi sana,wala sio siri.Tulisema huko nyuma kwamba hawa jamaa ni wabaguzi kwa kuzaliwa tukaambiwa na sisi kwa kusema hivyo tunawabagua.Mimi tangu nizaliwe sijawahi kuona binti wa Kiasia aliyeolewa na Mswahili na kama wapo ni wachache sana.Frankly nashangaa watu wanaowachagua Wa-Asia kama Wabunge wao,shida ni nini hasa?Hivi hakuna Mswahili mwenzetu anayefaa kweli?Kwao wenyewe wanabaguana mpaka eti kuna watu wenyewe wanaowaita "untouchables,"eti kwa kuwa wana ngozi nyeusi!
Usipojua kwa nini Mbongo haaminiki basi hutopata nafasi ya kuajiriwa kwenye hizo Top execs unazosemakuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Tuacheni fikira mfu hizi, mi nina rafiki yangu Mhindi kaoa mrangi, inaweza isiwe hivyo sana, lakini mbona hata humu kwetu ukiangalia ratios za makabila tofauti kuoana mbona ndogo?Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
wabongo bhana kwani yy ni black? hofu ya nn kwangu Gadafi alikuwa mwafrika wa kweli kuliko wengi waafrika weusikuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Mbona hata wao wanakula bamia mkuu,I mean some of them are just as poor as Swahilis,and there are reacher Swahilis.Kwa hiyo hiyo sio sababu ya msingi mkuu.Wewe umeshafika Uhindini country side,umaskini ulioko huko acha,inatisha.unataka mswahili umuoe muhindi uende ukamlishe makande na bamia?
watanganyika ni wezi sana bora awachinjie baharini
Accountant wa kibongo hana ujuzi wa kukwepa kodi Na false accountinghivi unaweza kufungua company india na usiweke muhindi kwenye top management?? hata accountant ??? h ha ha
Can't believe umeandika huu uchonganishi ktk jamii yetu. Mambo ya mtu binafsi unayaingilia vip?kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Can't believe umeandika huu uchonganishi ktk jamii yetu. Mambo ya mtu binafsi unayaingilia vip?
Mchonganishi ni yule aliyeweka picha kwenye mtandao, kwa wasifu wa Mo picha hiyo ni lazima ingezua maswali, kama tafrija imefanyika nyumbani kwake haina shida ni picha nzuri na mambo binafsi, lakini kama ni sehemu ya kazi picha imekaa vibaya na haipendezi.Can't believe umeandika huu uchonganishi ktk jamii yetu. Mambo ya mtu binafsi unayaingilia vip?