tatizo kiingereza hamjui mnajifanya majaji wa kiingereza, neno " on behalf of my self.." hutumiwa na viongozi kumaanisha yeye kwa nafasi aliyonayo mfano rais, waziri mkuu, n.k.'On behalf of myself" umesoma zile shule za jumuiya za ccm?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Only in facebook or only at facebook?Tuhamie kwako sasa
Some of them are just jokes.
Si tutawaona washamba mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si wangekuwa wanatumia kiswahili tu.
[emoji23] [emoji23]Si tutawaona washamba mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]facebook ni mtandao ambao umekusanya watz wengi baadhi yao elimu inayohusu masuala ya privacy hawajaipa kipaombele au hawajui wanatakiwa wafanye nini ili kulinda masuala yao binafsi.
tazama hawa vilaza wawili hapa chini...wanatoleana povu publicly
kwa suala lao ambalo lipo mahakamani.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
duhhhh!!! hapo wakienda mahakamani huo ni uthibitisho mwinginefacebook ni mtandao ambao umekusanya watz wengi baadhi yao elimu inayohusu masuala ya privacy hawajaipa kipaombele au hawajui wanatakiwa wafanye nini ili kulinda masuala yao binafsi.
tazama hawa vilaza wawili hapa chini...wanatoleana povu publicly
kwa suala lao ambalo lipo mahakamani.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]