Moyo unauma sana kisa hanitaki tena, sijajua kama ni hasira au ameamua kabisa sababu ya msingi siioni, ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa Moyo wote kabisa, nikampa heshima zote anazostahili mume, I wish to move on but sina uhakika if I can love again, my heart fails me.
What do I do now?
Utapenda tu,Moyo unauma sana kisa hanitaki tena, sijajua kama ni hasira au ameamua kabisa sababu ya msingi siioni, ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa Moyo wote kabisa, nikampa heshima zote anazostahili mume, I wish to move on but sina uhakika if I can love again, my heart fails me.
What do I do now?
Moyo unauma sana kisa hanitaki tena, sijajua kama ni hasira au ameamua kabisa sababu ya msingi siioni, ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa Moyo wote kabisa, nikampa heshima zote anazostahili mume, I wish to move on but sina uhakika if I can love again, my heart fails me.
What do I do now?
But friend how will I face people, my family knows him, all of my friends and his too,we have more than 6years....moyo unauma,Hivi siku akifunga ndoa na mwanamke mwingine will I stand the pain?! After nimewakataa wengi Sana,kuna kipindi nlitaka kuchumbiwa nkakataa kabisa nkasema nyumbani namsubiri yeye,sometime I regret the day I met him