Broken hearted

prado

Ntakwambia vitu kadhaa broken hearted girl/woman. Wanaume wanaangalia vitu hivi wanapotaka mwenza wa maisha na sio Mpenzi Tu.
1. Ukipenda starehe Sana huolewi hata kama wewe Ni mzuri kama Beyonce.
2. Ukiwa muomba hela Sana tena za hovyo hovyo atakuacha hata kama unampa mpaka nanihii.
3. Ukiwa na style ya wanawake wa haki sawa utaachwa Tu belive me, a man needs a woman to be a woman.
4. Ukishinda kwenye dressing table na makucha kama jini unamuacha yeye anafua mwenyewe utaachwa Tu.

Ndio maana wanaume huwa na vimada warembo na kuoa wanawake wa kawaida coz hao warembo hawana kitu zaidi ya their pretty faces which they think can tie a man to them.
 
Last edited by a moderator:
Kupenda kunauma jamani!bt give it tym u will heal my dear and move on
 

sorry where can i find you nikupe zawadi hii commet yako nimeipenda mpaka basi...!!!
ahsante sana berto0406 umeongea bonge la point....!!!!
 
Last edited by a moderator:
Let me tel u this,it won't be easy,u will go through hell bt at the end of the day u will get through this....we vumilia tu ndio nature ya maisha wala ucjione victim kivileee
 
Hawa watu wamekushauri vizuri sana.
I was once there lakini am moving on now. Sio kila uchumba ni ndoa...nyingine ni tuition. You are beautiful and bright...there is someone out there who deserves you and not that guy. Dont low your value ...keep on girl. Keep your self busy...time heals...taratibu utajisikia kupenda baadae ila kwa sasa usimfate fate maana majibu yake yatakuumiza zaidi na zaidi....
 
sorry where can i find you nikupe zawadi hii commet yako nimeipenda mpaka basi...!!!
ahsante sana berto0406 umeongea bonge la point....!!!!

Asante Mkuu nipo hapa Mjini Dsm napambana na maisha....unajua mkuu ni kwambaa....when you love a person...u dont do it for him or for her in a first place but u do it for urself.....so nilichomshauri dada hapo nikwamba afanye kitu kwaajili yake mwenyewe....amtafute..and fight for her lov for the sake of herself....then from there she will know if the man is worth fighting or not...yamkini kuna kitu amekosea au wote wamekosea and ITS ONLY THEMSELVES WHO CAN SETTLE THIS.
 
Last edited by a moderator:
Let me tel u this,it won't be easy,u will go through hell bt at the end of the day u will get through this....we vumilia tu ndio nature ya maisha wala ucjione victim kivileee

very true mkuu....uvumilivu tu utamponya.
 

unachosema ni kweli lakini mpaka dada kaja kusema huku pengine aishajaribu kuongea nae ikashindikana ....sijui lakini ila ulichomshauri ni sawa kabisa.
 
Yataisha Hayo mamy na kuna Siku utamshukuru Mungu kwa utengano Huu unaokuumiza leo.
Pole though ila with time you'll be okay.
 
Women make a lot of mistake kwa makusudi. I can assure you your sister who is my wife now never knew I didnt hate her until we were 10 years in marriage. She started all those nonsense and now she is just a wife ..my wife that is ... but only that.
Inawezekana wewe ulianza mapema zaidi. Au miaka sita inakarubia 10 niliyokaa na dadako. Pole.
 


Does she know that you have hatred? Oh gosh, why hate someone for that long and yet, you share the same bed ?
 

unajua wengi wanahisi suluhisho la ugomvi ni kuachana na kujuta kumbe mapenz yana uwanja mkubwa sana!!!!
nimeipenda hii commet yako coz ndo iliyookoa penzi langu wakati fulani yaan ulichoandika kama uliniandikia vile...!!!!
safi sana mkuu.....!!!!
 
Jamani mshirikisheni Mungu katika mahusiano yenu ndipo utapata faraja na tumaini hata uachwapo. Unaumia kwakua ulishamfanya mume kabla ya wakati wake. Mungu akupe faraja ya kweli na hili liwe fundisho kwako.
 

Am so simple yani natosha bila hata ya urembo,kwa muda niliospend nae nimekuwa nikimfanyia vyote hivyo,hajawahi kufua when am around, na kazi nyingine never, kumpenda nlkuwa Siigizi I was so really and I did all for love expecting nothing but to love me back,na bdo nlkuwa namnyenyekea Sana akinikataza kitu hata Kama npo mbali natii,bc tu kaamua
 
Then theres something he needs that you didn't have. Nakuhakikishia mama, hata kama mngeena another step forward bado ingekuja kuwasumbua mbeleni. Najua inavyouma najua vizuri sana and theres no word that will console you but only yourself and time. Dah unavyosema uko mpaka natamani that guy was me ningekung'ang'ania kweli maana wanawake wengi wa siku hizi wana tabia za vimada vimada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…