R.I.P Prof. MmariPumzika kwa Amani, Prof, Mmari. Full Professor. Sio hawa wa Jalalani wa Mchongo!
Nilikuwa mwanafunzi wako 1983!
Pumzika kwa Amani.

Tofautisha science and Revelation!Nimekuwa surprised kusikia profesa anauliza habari za ibada kumuomba Mungu huku darasa tukisema hakuna Mungu.
Hii dunia tunatofautiana pakubwa sana sijui ni kwa nini!
*****R.I.P Prof. Mmari![]()