Bro Mchechu wa NHC, Majumba unayojenga una uhakika utapata wateja?

Wabongo ni noma! Sasa wewe ulitaka afanye vipi? Ukifanya vizuri shida ukifanya vibaya matusi. Inaonyesha hata shukrani hamna . Jaribu kupongeza mahali panapostahili kutoa pongezi , usibakie kila cku kulalama tu.
Sasa unataka ajaze majumba pasipo wapangaji? nini maana ya kufanya hiyo Investment? unataka awapangishie popo ndo ufurahi?
 
JK alisema tuwaruhusu foreigners kununua...sijui hakujua maana yake ni kubadili sharia ya ardhi...
Hata mimi siwezi nunua nyumba dollar laki 2 plus...kama ninayo si nijenge....
 
JK alisema tuwaruhusu foreigners kununua...sijui hakujua maana yake ni kubadili sharia ya ardhi...
Hata mimi siwezi nunua nyumba dollar laki 2 plus...kama ninayo si nijenge....

mbona kina mbowe, mkapa na lowassa wameshaongelewa sana kumiliki nyumba nchi za watu.. why wagen wasimiliki tanzania
 
mbona kina mbowe, mkapa na lowassa wameshaongelewa sana kumiliki nyumba nchi za watu.. why wagen wasimiliki tanzania
Ushasema nchi za watu...
Hii ni nchi yetu...
TZ ni tofauti kabisa na 'nchi za watu'...
Mjadala wa ardhi ni mrefu...tukianza hapa uzi utapoteza direction....maana tutanza na why nchi za watu ziko jinsi zilivyo...why sisi kwa sasa hatuwezi kuwa hivyo
 
Wabongo ni noma! Sasa wewe ulitaka afanye vipi? Ukifanya vizuri shida ukifanya vibaya matusi. Inaonyesha hata shukrani hamna . Jaribu kupongeza mahali panapostahili kutoa pongezi , usibakie kila cku kulalama tu.
Usigeuze kila kitu kuwa siasa, mtoa hoja ana mantiki ya kueleweka kabisaa, majumba yanajengwa kwa wingi kwa wakati mmoja wakati huo huo Yale ya awali hayana wateja,
Je huu si ufisadi fulani upande wa manunuzi?
 
Ninfefurahi zaidi endapo wahindi wote wangeshuka ktk national housing wakapange ktk apartment wajengazo wahindi wenzao ili walipe kwa izo dola na sie wabongo ndio tukae ktk uzo national housing
 
Mm nadhani angejitahidı kujenga nyumba za kupangisha kuliko za kuuza.Binafsi siwezi kununua nyumba za NHC kwani nyingi ni sampuli ya kwota, kutakuwa na mambo ya Uswazi sana.LI NCHI LETU BADO LINA ARIDHI YA KUTOSHA, HAKUNA HAJA YA KUKAA MAKAMBINI.ZENYEWE HAZINA HATA UNAFUU WA BEI.
Uko sahihi, hata Mimi siwezi kununua, wanazijenga kizamani sana halafu wanatandika mibei ya ajabu. Labda apartments ambazo najua ntapangisha.
 
Hakika JPM una kazi pale NHC miradi inafyatuka tu lakini mwananchi wa hali ya chini/mwajiriwa wa ngazi za chini serikalini ataziona kupitia TV tu hizi nyumba kutokana na bei za kuruka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom