Bro Mchechu wa NHC, Majumba unayojenga una uhakika utapata wateja?

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
1,814
2,000
Kaka yangu Mchechu kwanza nikupongeze kwa kuwa CEO wa Taasisi ya Serikali ukiwa Kijana mdogo (wastani) lakini Business Model yako ya kufyatua majumba kila kona ya nchi kwa wakati mmoja sijaielewa!! kama lengo ni kuuza je una uhakika na Wateja? Zaidi mbona hata bei zake ni ghali mno. Nini hasa kinafanya kuwa ghali na hamnunui hata Ardhi, pia (inasemekana) mna msamaha wa kodi kwa baadhi ya vifaa vya ujenzi mnavyoingiza nchini?
Huyo boss yuko wapi siku hizi?
 
connections

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
1,264
2,000
Kaka yangu Mchechu kwanza nikupongeze kwa kuwa CEO wa Taasisi ya Serikali ukiwa Kijana mdogo (wastani) lakini Business Model yako ya kufyatua majumba kila kona ya nchi kwa wakati mmoja sijaielewa!! kama lengo ni kuuza je una uhakika na Wateja? Zaidi mbona hata bei zake ni ghali mno. Nini hasa kinafanya kuwa ghali na hamnunui hata Ardhi, pia (inasemekana) mna msamaha wa kodi kwa baadhi ya vifaa vya ujenzi mnavyoingiza nchini?
Mbona yote yamejaa tayari
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,800
2,000
Majengo ya NHC ndo yalikuwa yanapendezesha mji , nchi ikakabidhiziwa sjui Kwa Nani , wote anataka tuishi kwenye vibanda vya nyasi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom