Well said mkuu..kuna watu wamekalia ushabiki na wanafurahia kuendelea kuishi maisha ya chee yasiyolingana na qualifications, skills na talents zao just because our system is corrupt na kuna loopholes nyingi sana za ulaji na kuiba.Aliyekuwa nje ya field ya Udaktari itakuwa ni ngumu kuelewa maana ya haya yafuatayo unless ana akili timamu;
1)Kupata MD degree ni 5-6 years of hard and difficulty constant classes from 9:00-15:00hrs monday to saturday.
2)One year of Internship just to eran your registration even after graduating and passing for your final exams.
3)Risk of being exposed to many infectious and non-infectious diseases during physical contact with patients when taking case histories(..only because there are no gloves or nasal masks...)...
Madaktari wanachodai ni haki kabisa. Huko mawizarani na sehemu nyingine serikalini watumishi wengi hawaishi kwa mshahara..badala yake ni vikao vya posho, semina na safari za nje na ndani ya nchi ambazo hazina tija. Hivi per diem ya mtumishi wa serikali akisafiri nje ya nchi ni sh ngapi?
Tukumbuke kuwa hawa madaktari wengi hawana hivi vikao vya posho vya kisanii wala safari za kutunga. Muda wao mwingi wanakuwa kwenye vituo vyao vya kazi kutibu nyie wadanganyika.
Naomba na huko mawizarani, government agencies, etc..tufute vikao vya kujilipa posho ambavyo ni sehemu ya majukumu na kazi zetu pamoja na safari zote za ndani na nje zilipiwe kila kitu (mtu asipewe pesa mkononi). Halafu ndio turudi hapa tuwahukumu madaktari kwamba hawana uzalendo.