Bring back our money Campaign yatinga Mwanza kesho

Wiston Mogha

Senior Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
168
Reaction score
141
BRING BACK OUR MONEY CAMPAIGN YATINGA MWANZA KESHO

DAVID KAFULILA kesho kuzungumza na wanazuoni vyuo vikuu vya jiji la mwanza kuanzia saa nne mpaka saba mchana ukumbi wa goldcrest hotel kuhusu ufisadi wa 400bn ndani ya escrow akaunt bank kuu, ufisadi uliopelekea nchi wahisani kusitisha mikopo na misaada ya kibajeti 2014/15 kushinikiza report za uchunguzi za pccb na cag zitoke huku kukiwa na kigugumizi kwa serikali kuruhusu report hizo kutoka kwa hofu ya mtandao wa wahusika katika ufisadi huo unaoweza kupelekea serikali kuanguka kama Rais atakuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Wanavyuo na wadau wote wa maendeleo mnakaribishwa kujua namna singasinga alivotumia Tsh 6m kukwapua 400bn za umma ndani ya escrow akaunt bank kuu. Kafulila atamwaga ushahidi wote. Tusiwachie wazungu kupigana na mafisadi bila kuonesha hasira zetu dhidi ya wahujumu uchumi hawa....

WOTE MNAKARIBISHWA!
 
Ok wacha leo nilale hapa hapa kumbe after balimi kadhaa
 
bring back our money,,,,,,,,,,,,,, hvi ni kwanini wanapenda kuongea na wanvyuo wa mwanza tuuuuuuu???? dar why????
 
Mwanasheria mkuu ni miongoni mwa wezi wetu?
.
 
BRING BACK OUR MONEY CAMPAIGN YATINGA MWANZA KESHO
DAVID KAFULILA kesho kuzungumza na wanazuoni vyuo vikuu vya jiji la mwanza kuanzia saa nne mpaka saba mchana ukumbi wa goldcrest hotel kuhusu ufisadi wa 400bn ndani ya escrow akaunt bank kuu, ufisadi uliopelekea nchi wahisani kusitisha mikopo na misaada ya kibajeti 2014/15 kushinikiza report za uchunguzi za pccb na cag zitoke huku kukiwa na kigugumizi kwa serikali kuruhusu report hizo kutoka kwa hofu ya mtandao wa wahusika katika ufisadi huo unaoweza kupelekea serikali kuanguka kama Rais atakuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Wanavyuo na wadau wote wa maendeleo mnakaribishwa kujua namna singasinga alivotumia Tsh 6m kukwapua 400bn za umma ndani ya escrow akaunt bank kuu. Kafulila atamwaga ushahidi wote. Tusiwachie wazungu kupigana na mafisadi bila kuonesha hasira zetu dhidi ya wahujumu uchumi hawa....
WOTE MNAKARIBISHWA!

Safi sana mabadiliko makubwa yeyote huwa yanaanzia mwanza njoo mzalendi Kafulila uwape ukweli watu wa mwanza tutakusapot mpaka dk ya mwisho hadi warudishe fedha zetu
 
Tunasubili wazungu ndo watupiganie dhidi ya uhuni wa viongozi wetu! Kweli ndo maana mzungu anaiona ngozi nyeusi si chochote.
 
Huyu kijana kafulila anafaa sana. Paul Makonda could borrow a leaf or two from this guy.....!
 
Tunaomba aseme mapema tu asijefunikwa na yule mwindaji wa ngedere/tumbili kwenye hili shamba la bibi yake. CCM weshatangaza kuwa hapa ni kula tuuu. Kubuni kila aina ya mradi unapewa mijimilioni, unaenda kutumbua taratib kwa kwenda mbele tu. Nnani akuulize. 6m ikupe 400 billion. Ama kweli, nimeamini, Tz si muchezoo. Mbona muhishimiwa huuangalii ule wangu wa Pwagu na Pwaguzi unipepo hata tumilioni tutatu tuu si tutanitosha??
Tanganyika, Tanganyika; kweli nakupenda kwa moyo wote. Kila fijisadi linabuni mradi na kukwapua lakini ulivyo tajiri Tanganyika; Hufilisiki.
 
bring back our money,,,,,,,,,,,,,, hvi ni kwanini wanapenda kuongea na wanvyuo wa mwanza tuuuuuuu???? dar why????

dar wanavyuo hawajitambui,,usharobaro, na usistaduh ndo mpango kwao...wanaojielewa wako MWANZA..dar itawachukua muda kutambua taifa linahitaji nini..
 
Hawa watu wa kigoma siwaamini hata kidogo, @zito alianza hivi hivi zile za uswiss alivyovutiwa mkwanja tu kimyaaa
 
Hawa watu wa kigoma siwaamini hata kidogo, Zitto alianza hivi hivi zile za uswiss alivyovutiwa mkwanja tu kimyaaa....
_harakati za huyu dogo sishabikii hata kidogo maana najua hafiki mbali
 
Last edited by a moderator:
BRING BACK OUR MONEY CAMPAIGN YATINGA MWANZA KESHO
DAVID KAFULILA kesho kuzungumza na wanazuoni vyuo vikuu vya jiji la mwanza kuanzia saa nne mpaka saba mchana ukumbi wa goldcrest hotel kuhusu ufisadi wa 400bn ndani ya escrow akaunt bank kuu, ufisadi uliopelekea nchi wahisani kusitisha mikopo na misaada ya kibajeti 2014/15 kushinikiza report za uchunguzi za pccb na cag zitoke huku kukiwa na kigugumizi kwa serikali kuruhusu report hizo kutoka kwa hofu ya mtandao wa wahusika katika ufisadi huo unaoweza kupelekea serikali kuanguka kama Rais atakuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Wanavyuo na wadau wote wa maendeleo mnakaribishwa kujua namna singasinga alivotumia Tsh 6m kukwapua 400bn za umma ndani ya escrow akaunt bank kuu. Kafulila atamwaga ushahidi wote. Tusiwachie wazungu kupigana na mafisadi bila kuonesha hasira zetu dhidi ya wahujumu uchumi hawa....
WOTE MNAKARIBISHWA!
Mkuu kuna gari lilikuwa linapita likitangaza uwepo wa huyu mheshimiwa eneo ulilotaja lakini mbona maudhui yalikuwa ni vit dhidi ya madawa ya kulevya? Wazungumzaji akiwa yeye, Hamisi Kigwangala n.k. Imekaaje hii?
 
Hawa watu wa kigoma siwaamini hata kidogo, Zitto alianza hivi hivi zile za uswiss alivyovutiwa mkwanja tu kimyaaa....
_harakati za huyu dogo sishabikii hata kidogo maana najua hafiki mbali

Kwa mfumo huu wa kishabiki hatufiki mbali,swali la msingi jiulize je hili linalopiganiwa linatija au lah??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom