Black fire
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 755
- 1,323
Hawa watu wa kigoma siwaamini hata kidogo, Zitto alianza hivi hivi zile za uswiss alivyovutiwa mkwanja tu kimyaaa....
_harakati za huyu dogo sishabikii hata kidogo maana najua hafiki mbali
Tunaanda mpango mkakati; tutampoza kwa kitu kidogo tu! Ngoja tuwasiliane na BOT tujue zlbak ngap! Akikataa kucha na meno halali yet!
Last edited by a moderator: