Kwa hiyo Nundu kavunja taratibu za kukaimu ofisi kampatia rafiki yake ulaji. Mwanzo alipoteuliwa,licha ya kuwa na mashaka juu ya uwezo wake kuongoza hiyo wizara,lakini nilikua matumaini kwamba anatatusaidia kuifufua ATCL kutokana na uzoefu wake ktk sekta ya mawasiliano ya anga. Sasa anafanya madudu kama wana magamba wenzake.
Sio madudu hayo tu lakini kuna tetesi kuwa anataka Bakari Mwapachu aliyemuondoa ubunge Tanga awe ndio Mwenyekiti wa ATCL board!! Shirika hili litafufuka kweli , kwani huyu bwana ni mchovu sana!! Wabunge vijana lazima wachachamae ama sivyo hizo fedha mlizopeleka kufufua shirika zitaliwa zote kwani huyu bwana ni mtumiaji sio mzalishaji!!