Breaking nyuzi;ceo mpya atcl -mr chizi

Kwa hiyo Nundu kavunja taratibu za kukaimu ofisi kampatia rafiki yake ulaji. Mwanzo alipoteuliwa,licha ya kuwa na mashaka juu ya uwezo wake kuongoza hiyo wizara,lakini nilikua matumaini kwamba anatatusaidia kuifufua ATCL kutokana na uzoefu wake ktk sekta ya mawasiliano ya anga. Sasa anafanya madudu kama wana magamba wenzake.

Sio madudu hayo tu lakini kuna tetesi kuwa anataka Bakari Mwapachu aliyemuondoa ubunge Tanga awe ndio Mwenyekiti wa ATCL board!! Shirika hili litafufuka kweli , kwani huyu bwana ni mchovu sana!! Wabunge vijana lazima wachachamae ama sivyo hizo fedha mlizopeleka kufufua shirika zitaliwa zote kwani huyu bwana ni mtumiaji sio mzalishaji!!
 
ameandika kama pdidy
Unajuwa mimi nilidhani niko peke yangu ambaye huwa simuelewi Pdidy, kumbe tupo wengi kweli! sasa mimi sijui Pdidy huwa anatumia simu ya kichina kupost humu au lah! kwa kweli simuelewi kabisa.
 
Ingawa mtuma thread haelewiki vizuri,lakini kitu cha msingi katika taratibu zetu za kazi waziri anaruhusiwa kuteua mtu toka nje ya shirika au serikalini kukaimu nafasi ktk shirika la umma?
 
Sio madudu hayo tu lakini kuna tetesi kuwa anataka Bakari Mwapachu aliyemuondoa ubunge Tanga awe ndio Mwenyekiti wa ATCL board!! Shirika hili litafufuka kweli , kwani huyu bwana ni mchovu sana!! Wabunge vijana lazima wachachamae ama sivyo hizo fedha mlizopeleka kufufua shirika zitaliwa zote kwani huyu bwana ni mtumiaji sio mzalishaji!!

Mkuu kwani ushasikia waziri gani anyongwe ? Na bado yaani jamaa kwa kujisikia ule umimi upo maximum
Anyway nchi yenyewe ishakwisha bora amalize upinzani jimboni mwake
Siasa hii itatupeleka pabaya sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom