Breaking nyuzi;ceo mpya atcl -mr chizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking nyuzi;ceo mpya atcl -mr chizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 12, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kwa wale waliokuwa wanaijua atcl enzi hizo habari zilizopatikana wizarani na a kuthibitishwa na baadhi
  ya wahusika wa wizara zinasema mh omar nundu amemteua mr chizi mfanyakazi aliekuwa airtanzania enzi hizo
  habari zaidi zinasema baada ya kuangalia utashi na uadilifu wake pamoja na kufanya kazi kwa juhudi mh
  waziri ameona mh chizi anafaa kuiongoza kampuni hii kama mzawa wapili baada ya aliewkwa mwanzo kuishia kutengenezza nembo ya kampuni ambayo ilimpatia kashfa kubwa..ipi kashfa hii ya nenmbo ilipelekea kufukuzwa aama kukimbia kwa
  commercial manager wa atcl enzi hizo muhindi ambae ameamua kubaki tanzania kwa kuongoza moja ya travrl agent mashuhuri hapa nchini..si hivyo tu nembo hii ilileta kashfa pale ceo wa wakati huo alipokaa kupitia maoni na tenda za wanaoweza kuongoza shirika hilo wakaiteua kampuni moja ya tanzania

  wakati wanafikiria kupataje ten percent kwenye kampuni hiyo mh ceo akishirikiana na management na wakati huo alikuwepo director mhuni mmoja kutoka kenya aliechukuliwa bila kujua hana idea yoyote ya ndege akaiwajulisha kuna jamaa anaweza kuwatengenezea kwa bei ya chini na kukubaliana baada ya nembo mh huyo anaweza kuwapa pesa wanayoitaj kama ahsante kama kawaida hali hiyoilimfanya kijana yule kwenda kenya kama mwendawazimi na ndipo akaleta nembo ya kihuni..kivipi nenda kaangalie ile nembo alichofanya ni kuweka a badala ya k ya kenya airways lakini nembo hiini sawa na ya kenya airways natumaini million 300 jamani aiwezi kuelezea imetumikaje kutengeneza nembo ya kampuni...mungu awaape heri wafanyakazi na roho ya huruma ya kuvumilia

  mr chizi
  kwa kweli huyu siwezi sema lolote maana kila mtu anajua alivyojipanga labda tuwaachie wafanyakazi wali ilikouwa airtanzania ambao walikuwa nae kuelezea umahiri wake naomba tunaitaji kupata ukweli halisi na si kuandika sababu ya wivu ama alikunyima unyumba miaka hiyo la hasha tupen data tuzifanyie kazi tafadhali

  wakati huo huo habari zilizotufikia punde zinasema kampuni ya atcl inatarajiwa kuendelea na safari zake kama kawaida kuanzia tar 25 pamoja namengine kwa kuhofia kuwepo na ndege moja imetangazaa kuanza safari za kigoma na tabora kwanza huku ikisubiri matengenezo ya ndege nyingine ambayo itatarajia kuanza safari za mwanza na kweingineko

  mungu ibariki tanzania mungu ibariki atcl!!
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mimi huwa napata aibu nikiulizwa, Tanzania kuna kampuni gani ya ndege? Jibu linakuwa gumu, hiyo airtanzania yenyewe ukigoogle utakuta visafari vya ajabu ajabu ambavyo navyo huduma ni za hovyo. Hatuko serious, tuko serious tu wakati wa kula hela za wagombea wakati wa uchaguzi bila kutafakari kwa makini. Anyway, we are coming, mwanga unatuingia tutaanza kuona pa kwenda.

  CEO, hongera sana!! lakini wasiwasi wangu huna nguvu sana kuikoa hiyo kampuni zaidi ya kutegemea serikali ikupe pesa, huku nusu ya hizo hela zikirudi kwa hao watakaokupa.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Paul Chizi?
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh kwani atcl wana ndege ngapi?
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mh,kwani tuna ndge?kaz yake itakuwa ni kusimamia kiwanjaaa?
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  NDEGE? C WALIANZA KUZFUNGA MASABUFA YA KICHINA AF CJUI WAKAZIKOROKOCHOAJE KISHA WAKAZIWEKEA NEMBO ZIKIWA TEYARI JUU YA MAWE? LABDA ZIPO KWA MATAKA ZNATUMIKA KAMA SITTING ROOM LOOL,
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280

  TAA si ndio inashughulika na viwanja......au?
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hivi hata kiwanja mnacho kweli...mi huwa nalinganisha na vituo vidogo vya polisi
   
 9. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huyo Mr Chizi aliyekuwa Atcl enzi zile aliondoka na kwenda kuwa mkurugenzi wa community air ile ndege ya dialo. lakini chini ya uongzi wake ameanzisha kampuni ile na kisha ikafa ndani ya muda mfupi sana kutokana na kukosa vision na kampuni ikawa haina mwelekeo endelevu na sasa imebaki inapumulia machine. sasa kumpatia mtu huyo tena shirika lililokufa la ndege tanzannia ili anede kulifufua ni sawa na kumchukua bubu ili amuelekeze njia kipofu! subirini muone shughuli yake kama naye hajaondoka akijisifu kwa kuiacha atcl kaburini kama yle bwana mataka aliyejisifia kubadilisha nembo ya shirika.
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Duh! Hii kali
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,325
  Likes Received: 19,492
  Trophy Points: 280
  ccm io watu kabisa
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  CCm hapa imetoka wapi?
   
 13. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ana kazi kubwa mno.
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mungu ibariki TTCL
   
 15. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mkuu asante kwa taarifa japo umejikanyaga kanyaga sana mpaka inakosa credibility.
  Siku nyingine andika ukiwa umetulia.
   
 16. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  watu husema majina ya watu husadifu walivyo-ngoja tuone huyu mr chizi atakuwaje katika utendaji wake
   
 17. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  yaani we mawazo yako bana, hahahaha unachungulia mpaka jina aisee! Ngoja tuone....
   
 18. L

  LAT JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Chizi alikua manager wa ATC south africa branch katika ofisi zao pale Bruma Lake, Joburg .... hakuna jipya .... ticket za ATC ziliuzwa mitaani na vijana kama karanga .... nilitokea Rundburg 15km from joburg kwenda ku confirm ticket nikaambiwa njoo after two days .... chizi hakuweza kunipa maelezo
   
 19. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  le grande mopao,papa codraman,papa fololo,Le grande du congo,papa mokonzi,mopao mokonzi,Sarkozy n.k;MAJINA HUWA YANASADIFU-LETS WAIT &SEE
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Aug 12, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi jina lake kamili ni nani? Au anaitwa "Mr. Chizi" tu?
   
Loading...