Breaking nyuzi;ceo mpya atcl -mr chizi

Breaking nyuzi;ceo mpya atcl -mr chizi

kwa wale waliokuwa wanaijua atcl enzi hizo habari zilizopatikana wizarani na a kuthibitishwa na baadhi
ya wahusika wa wizara zinasema mh omar nundu amemteua mr chizi mfanyakazi aliekuwa airtanzania enzi hizo
habari zaidi zinasema baada ya kuangalia utashi na uadilifu wake pamoja na kufanya kazi kwa juhudi mh
waziri ameona mh chizi anafaa kuiongoza kampuni hii kama mzawa wapili baada ya aliewkwa mwanzo kuishia kutengenezza nembo ya kampuni ambayo ilimpatia kashfa kubwa..ipi kashfa hii ya nenmbo ilipelekea kufukuzwa aama kukimbia kwa
commercial manager wa atcl enzi hizo muhindi ambae ameamua kubaki tanzania kwa kuongoza moja ya travrl agent mashuhuri hapa nchini..si hivyo tu nembo hii ilileta kashfa pale ceo wa wakati huo alipokaa kupitia maoni na tenda za wanaoweza kuongoza shirika hilo wakaiteua kampuni moja ya tanzania

wakati wanafikiria kupataje ten percent kwenye kampuni hiyo mh ceo akishirikiana na management na wakati huo alikuwepo director mhuni mmoja kutoka kenya aliechukuliwa bila kujua hana idea yoyote ya ndege akaiwajulisha kuna jamaa anaweza kuwatengenezea kwa bei ya chini na kukubaliana baada ya nembo mh huyo anaweza kuwapa pesa wanayoitaj kama ahsante kama kawaida hali hiyoilimfanya kijana yule kwenda kenya kama mwendawazimi na ndipo akaleta nembo ya kihuni..kivipi nenda kaangalie ile nembo alichofanya ni kuweka a badala ya k ya kenya airways lakini nembo hiini sawa na ya kenya airways natumaini million 300 jamani aiwezi kuelezea imetumikaje kutengeneza nembo ya kampuni...mungu awaape heri wafanyakazi na roho ya huruma ya kuvumilia

mr chizi
kwa kweli huyu siwezi sema lolote maana kila mtu anajua alivyojipanga labda tuwaachie wafanyakazi wali ilikouwa airtanzania ambao walikuwa nae kuelezea umahiri wake naomba tunaitaji kupata ukweli halisi na si kuandika sababu ya wivu ama alikunyima unyumba miaka hiyo la hasha tupen data tuzifanyie kazi tafadhali

wakati huo huo habari zilizotufikia punde zinasema kampuni ya atcl inatarajiwa kuendelea na safari zake kama kawaida kuanzia tar 25 pamoja namengine kwa kuhofia kuwepo na ndege moja imetangazaa kuanza safari za kigoma na tabora kwanza huku ikisubiri matengenezo ya ndege nyingine ambayo itatarajia kuanza safari za mwanza na kweingineko

mungu ibariki tanzania mungu ibariki atcl!!

unajua unaweza zikwa kinondoni kule juu na mwingine akazikwa kule chini kwa wakubwa lakini wote mnajulikana mmezikwa wilaya ya kinondoni sasa ndicho kinachofanyika atcl mh aliekuwa ceo yeye aliamua kuizika atcl kule kwa makaburi ya matajiri nafikrii mnakuelewa kinchofanyika kwa huyu ni kuitoa maiti ya atcl kule kinondoni chini na kuirudisha kule kwa makaburi ya maskini anyway mungu all in all mungu ailaze mahali pema peponi...

Huyu jamaa sie yule aliekuwa meneja wa airtanzania south africa jamani akafukuzwa kama sio kuambiwa aombe kuacha kwa manufaa ya umma ..na moja ya kashfa zilizopo kituo cha polisi cha jnb jamaa alikuwa kama iddi simba alifungua account yake akishirikiana na accountant wa atc enzi hizo wakawa wakiweka hela za mauzo na zinginiezo kwenye account binafsi mpaka mmoja wa waliokuwa mabosi wakadhuru jnb gafla wakakuta pesa zote ziko account ya huyu mh na leo kama kweli wanampa hii kampuni walaahii nundu na laaniwe milele na huu wizi wakati wakiufanya nundu alikuwa atc sijui anasemaje kwa hili yetu macho
 
chizi alikua manager wa atc south africa branch katika ofisi zao pale bruma lake, joburg .... Hakuna jipya .... Ticket za atc ziliuzwa mitaani na vijana kama karanga .... Nilitokea rundburg 15km from joburg kwenda ku confirm ticket nikaambiwa njoo after two days .... Chizi hakuweza kunipa maelezo

sio hilo tu kilichomtoa southafrica ilikuwa ni wizi wa kuweka hela za atc kwenye account yake akishirikiana na accountant wa atcl na baada ya kushtukiwa wakaambiwa wastaafu kwa manufaa yaumma ama kutolewa nishai na kama kweli wanamrudisha basi tunaomba maiti damu yangu macho
 
CCm hapa imetoka wapi?
Shirika la Uma, limeliwa na wahuni wa Serikali ya CCM.
How can you watch shirika la ndege linateketea mpaka ndege zote zinawekwa juu ya mawe ndo unastuka???
Wizara ya uchukuzi my arse!!!
Miundombinu my arse!!
Serikali ya CCM my arse!!!!
 
Shirika halina ndege za kueleweka na lina wafanyakazi sijui mia ngapi,halina haja ya CEO hapa ni kufilisiwa tu hawa wafanyakazi tukiwaita 'ghost workers' tutakosea jamani wanalipwa mshahara kwa kazi hewa sasa CEO atasimamia nini ?
 
Kili shirika bwana lilishakufa zamani tu,
Kinachofanyika ni kumtafuta mganga "atakaeifufua maiti" ambae hata kama ikishindikana hana lawama maana kawaida "maiti haifufuki",
labda tujipe moyo kua shirika halijafa bali lilichukuliwa misukule na mafisadi.
Yote kwa yote bado naamini siasa zikiwekwa kando, wapo wachapakazi wengi tu ambao wangeweza kulifufua hili shirika kama Mr. Allan Shara na wengine kadhaa pale PW, Saidi Onga na wengine pale TCAA, Baadhi ya watu Wizarani n.k
 
Kama wanataka ATC ifufuke basi wamchukue expatriate manager aliyeshafanya kazi katika mashirika yaliyofanikiwa eg Emirates; KLM; BA etc. Kenya Airways did that when it was privatised with KLM Managers. Hizi experiments za kuweka former officials of the failed ATC will not take us far! The Government will sink its money in such ventures and I am almost 100% sure that, come five years from now, ATC will be even more broken than it is now. I can bet $10,000/= that this will occur with this "Chizi" guy!!
 
Huyo Mr Chizi aliyekuwa Atcl enzi zile aliondoka na kwenda kuwa mkurugenzi wa community air ile ndege ya dialo. lakini chini ya uongzi wake ameanzisha kampuni ile na kisha ikafa ndani ya muda mfupi sana kutokana na kukosa vision na kampuni ikawa haina mwelekeo endelevu na sasa imebaki inapumulia machine. sasa kumpatia mtu huyo tena shirika lililokufa la ndege tanzannia ili anede kulifufua ni sawa na kumchukua bubu ili amuelekeze njia kipofu! subirini muone shughuli yake kama naye hajaondoka akijisifu kwa kuiacha atcl kaburini kama yle bwana mataka aliyejisifia kubadilisha nembo ya shirika.

I know mr.Chizi,kama akipewa nafasi na uhuru na uwezo anaweza kubadilisha shirika na kulifufua,swala la community airline kufa ni kutokana na upuuzi wa mmiliki kutofuata biz plan na kufanya biashara kwa mazoea... CHIZI ANAWEZA AWEZESHWE
 
Huyo Mr Chizi aliyekuwa Atcl enzi zile aliondoka na kwenda kuwa mkurugenzi wa community air ile ndege ya dialo. lakini chini ya uongzi wake ameanzisha kampuni ile na kisha ikafa ndani ya muda mfupi sana kutokana na kukosa vision na kampuni ikawa haina mwelekeo endelevu na sasa imebaki inapumulia machine. sasa kumpatia mtu huyo tena shirika lililokufa la ndege tanzannia ili anede kulifufua ni sawa na kumchukua bubu ili amuelekeze njia kipofu! subirini muone shughuli yake kama naye hajaondoka akijisifu kwa kuiacha atcl kaburini kama yle bwana mataka aliyejisifia kubadilisha nembo ya shirika.

Kila siku mimi nina wsiwasi na huyu waziri wa usafirishaji kuwa hana nia njema na shirika letu la ndege la ATCL; ndio maana kabla ya wabunge kuchachamaa alikuwa ameitengea kampuni hiyo yenye madeni lukuki shillingi mill 200 kwenye bajeti ya mwaka huu, kabla ya kamati ya miundombinu kumuweka kiti moto!! Inaelekea amekubali mkakati wa kuifufua kampuni hii shingo upande na ndio maana amemteua [kazi hii ya uteuzi ni ya Rais] huyu bwana Chizi kama kaimu CEO ambae rekodi yake katika uendeshaji kampuni za ndege sio mzuri[ref. hayati community Air] ili adhihirishe kuwa yeye alikuwa sahihi kutotaka kufufua shirika mara bwana CHIZI atakapolifilisi shirika!! Utaratibu mzuri wa kumpata competent CEO wa ATCL ni kuwapa consulting firm itangaze nafasi hiyo ; halafu wao wapendekeze kwa Rais mtu wanaedhani anaweza kuliongoza shirika. Appointment ya CEO wa ATCL iwe based on merit ndio shirika linaweza kufufuka; hopefully Rais hatamuachia Omar Nundu achezee TUNU ya nchi yetu kwa maslahi ya wajanja wachache.
 
ATCL inahitaji kijana kama Nehemia Mchechu wa NHC maana iko ICU na kule ICU umeme umekatika.. sasa ina ukaika kama iko hai bado
 
Kama wanataka ATC ifufuke basi wamchukue expatriate manager aliyeshafanya kazi katika mashirika yaliyofanikiwa eg Emirates; KLM; BA etc. Kenya Airways did that when it was privatised with KLM Managers. Hizi experiments za kuweka former officials of the failed ATC will not take us far! The Government will sink its money in such ventures and I am almost 100% sure that, come five years from now, ATC will be even more broken than it is now. I can bet $10,000/= that this will occur with this "Chizi" guy!!
<br />
<br />
...good idea but with magamba in place i don't think tere will be any positive changes!
 
Naomba kuuliza - Hii recycling ya viongozi itaisha lini? Kama hii taarifa ni credible nadhani ni kuruka mkojo na kukayanga mavi - Chizi alikuwa JHB - Branch Manager pale - aliyoyafanya kama ataweza ku-replicate akiwa kama CEO, naamini hata yale mandege yaliyopo workshop atayauza kama chuma chakavu! - This fellow anastahili kustaafu kama ambavyo alistaafishwa kule JHB!
 
hivi shirika la ndege la serikali la nini jamani kwenye karne hii ya free market au Market economy? Mbona hakuna shirika la Mabasi la Tanzania? Mnataka kuilifanya kama mnavyofanya RELI. Mnaanzisha Miradi isiyo na Tija kwa wabongo. siyo sahihi kuiga kila wanachofanya majirani hata kama hatuna uwezo wa kumiliki shirika. Ndege nasikia ni bei mbaya na tukianza kujipeleka huko kwenye biashara ya ndege za Taifa tutashindwa kufanya mambo ya msingi. Ndio kusema Watanzania hawasafiri kwa vile hatuna shirika la taifa. Nchi yenyewe hii kila siku hakuna hiki na kile.
 
yetu macho maana kila kitu kina uwalakini kwa kukosa umakini
 
Back
Top Bottom