BREAKING NEWSS!! Jerry Isaac Mruma Afariki Dunia Nairobi...

daby mouser

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
206
Reaction score
73
Habari zilizonifikia saa hii zinasema kwamba Jerry Isaac Mruma amefariki dunia huko mjini Nairobi baada ya kunyongwa.
Kwa mujibu wa taarifa za awali kijana huyo alipotea toka Jumamosi alipokuwa akitoka disko na baada ya kuongea na rafiki yake kwa njia ya simu ya mkononi alimjulisha kuwa yupo njiani kuelekea nyumbani hakufanikiwa kufika .
Mpaka jana Jerry alikuwa bado hajulikani alipo .
Ntaendelea kuwajuza zaidi kuhusu msiba huu wa rafiki, ndugu na Kaka yetu Jerry Isaac Mruma, Mtoto wa Isaac Mruma Ofisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mamlaka ya Uthibiti wa Mawasiliano Nchini (TCRA).
 
Nimesikia hiz taarifa zimenisononesha sana, polen wafiwa. na kaka ya yangu pia "COMPM"
 
So sad! May the Almighty God give you the power to overcome. In any situation God remains to be God. I am sure he will heal your broken hearts. Amen!
 
Binadamu hatunyimiki na kila mja ataonja mauti ..pole sana japo sikuwahi kukufahamu kabla ya kifo chako
 
Habari zilizonifikia saa hii zinasema kwamba Jerry Isaac Mruma amefariki dunia huko mjini Nairobi baada ya kunyongwa.
Kwa mujibu wa taarifa za awali kijana huyo alipotea toka Jumamosi alipokuwa akitoka disko na baada ya kuongea na rafiki yake kwa njia ya simu ya mkononi alimjulisha kuwa yupo njiani kuelekea nyumbani hakufanikiwa kufika .
Mpaka jana Jerry alikuwa bado hajulikani alipo .
Ntaendelea kuwajuza zaidi kuhusu msiba huu wa rafiki, ndugu na Kaka yetu Isaac Mruma, Ofisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mamlaka ya Uthibiti wa Mawasiliano Nchini (TCRA).
Mkuu hebu fafanua.
Mbona unatoa habari tatanishi, unaposema amenyongwa halafu unasema amepotea na mpaka sasa hajulikani alipo, waleta mtafaruku.
Nimepitia blogu ya 24 TANZANIA, nao wanasema hajulikani alipo(9hrs ago)

help us find JERRY ISAAC MRUMA9 hours ago
 
Msiba wa dogo umenisikitisha sana... Huyu dogo namjua kitambo he is a very bright Guy..

Kwa wasio mjua unaweza ingia google na ku type Jerry Isaac Mruma.. Ana website yake binafsi na ya kampuni yake... Inayoitwa Kilimo yetu ipo kenya.

At the age of 21 tu ameanzisha hii kitu inayoitwa kilimo yetu in short its a green house project in a year would be worth million dollars.. His planning was moving so well.. Alikuwa anaenda miliki approx acre 10 huko Nairobi.

Was having a big support from World Bank, chuoni kwao, hata CEO wa safari com alikuwa so admired na huyu jamaa.. Alikuwa amesha pata sponser wa kutosha...

In short was upcomming young billionair katika ardhi ya Kenya.. Na hisi ni wivu tu wa wakenya kuona mtanzania tena mdogo tu anafanikiwa kias hicho...

Dogo amezaliwa mwaka 90 tu lakin ameshafanya mambo makubwa tu.. Its a veery saaad news, ki ukweli nimesikitishwa sana na kifo cha jamaa...

Hii ndo taarifa iliyotolewa hapa chuon United States International University.
Hakuwa club but kulikuwa na party ya watanzania ndo wakamteka na kumuua..

Inshort ni wivu tu wa ndugu zetu kuona mtanzania mdogo anafanikiwa katika ardhi yao. ImageUploadedByJamiiForums1385129454.986934.jpg
 
Mkuu hebu fafanua.
Mbona unatoa habari tatanishi, unaposema amenyongwa halafu unasema amepotea na mpaka sasa hajulikani alipo, waleta mtafaruku.
Nimepitia blogu ya 24 TANZANIA, nao wanasema hajulikani alipo(9hrs ago)

help us find JERRY ISAAC MRUMA9 hours ago

Soma Taratibu na kwa utulivu utaelewa mkuu,Hakuna pahala nilipoleta mtafaruku ulio uanisha..Welcome!
 
Msiba wa dogo umenisikitisha sana... Huyu dogo namjua kitambo he is a very bright Guy..

Kwa wasio mjua unaweza ingia google na ku type Jerry Isaac Mruma.. Ana website yake binafsi na ya kampuni yake... Inayoitwa Kilimo yetu ipo kenya.

At the age of 21 tu ameanzisha hii kitu inayoitwa kilimo yetu in short its a green house project in a year would be worth million dollars.. His planning was moving so well.. Alikuwa anaenda miliki approx acre 10 huko Nairobi.

Was having a big support from World Bank, chuoni kwao, hata CEO wa safari com alikuwa so admired na huyu jamaa.. Alikuwa amesha pata sponser wa kutosha...

In short was upcomming young billionair katika ardhi ya Kenya.. Na hisi ni wivu tu wa wakenya kuona mtanzania tena mdogo tu anafanikiwa kias hicho...

Dogo amezaliwa mwaka 90 tu lakin ameshafanya mambo makubwa tu.. Its a veery saaad news, ki ukweli nimesikitishwa sana na kifo cha jamaa...

Hii ndo taarifa iliyotolewa hapa chuon United States International University.
Hakuwa club but kulikuwa na party ya watanzania ndo wakamteka na kumuua..

Inshort ni wivu tu wa ndugu zetu kuona mtanzania mdogo anafanikiwa katika ardhi yao.View attachment 122831

So far nimevunjika moyo kwa kuzipata hizi habari za msiba wa Jerry,Ni kijana mbunifu na mtundu sana kwenye kucreat big challenging ideas,Tangu Academic Secondary,Natumaini kuna siku tungeona akiisaidia EA kwa hiki kipawa alichokuwa amejaaliwa,kama tu kisingekuwa kifo chake..RIP
 
Acha tu rafiki yangu... Its a very saad news... Dogo ameniuma sana... He was very bright aisee...
 
This is just too sad. Vijana hawa ndio wanaohitajika kulijenga taifa, halafu tunawapoteza. Ni wachache sana wa jinsia hii. RIP Jerry.
 
Kuna haja kubwa ya kujua chanzo cha kifo cha mtanzania mwenzetu Jerry Isaac huko ugenini, inaumiza sana R.I.P
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom