BREAKING NEWSS!! Jerry Isaac Mruma Afariki Dunia Nairobi...

BREAKING NEWSS!! Jerry Isaac Mruma Afariki Dunia Nairobi...

Huu unyongaji ungekuwa umetokea vice versa (Mkenya kafanyiziwa Bongo) I cant imagine huko #KOT na magazeti yao. Ila sisi ni Watanzania na najivunia!
 
RIP ndugu yetu, juzi juzi tu hapa nilikuwa naangalia video yake kwenye you tube.
 
Poor Margaret! I think that is his mother's name. My condolences goes out to her!!!
Habari zilizonifikia saa hii zinasema kwamba Jerry Isaac Mruma amefariki dunia huko mjini Nairobi baada ya kunyongwa.
Kwa mujibu wa taarifa za awali kijana huyo alipotea toka Jumamosi alipokuwa akitoka disko na baada ya kuongea na rafiki yake kwa njia ya simu ya mkononi alimjulisha kuwa yupo njiani kuelekea nyumbani hakufanikiwa kufika .
Mpaka jana Jerry alikuwa bado hajulikani alipo .
Ntaendelea kuwajuza zaidi kuhusu msiba huu wa rafiki, ndugu na Kaka yetu Jerry Isaac Mruma, Mtoto wa Isaac Mruma Ofisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mamlaka ya Uthibiti wa Mawasiliano Nchini (TCRA).
 
Poleni sana wafiwa.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Msiba wa dogo umenisikitisha sana... Huyu dogo namjua kitambo he is a very bright Guy..

Kwa wasio mjua unaweza ingia google na ku type Jerry Isaac Mruma.. Ana website yake binafsi na ya kampuni yake... Inayoitwa Kilimo yetu ipo kenya.

At the age of 21 tu ameanzisha hii kitu inayoitwa kilimo yetu in short its a green house project in a year would be worth million dollars.. His planning was moving so well.. Alikuwa anaenda miliki approx acre 10 huko Nairobi.

Was having a big support from World Bank, chuoni kwao, hata CEO wa safari com alikuwa so admired na huyu jamaa.. Alikuwa amesha pata sponser wa kutosha...

In short was upcomming young billionair katika ardhi ya Kenya.. Na hisi ni wivu tu wa wakenya kuona mtanzania tena mdogo tu anafanikiwa kias hicho...

Dogo amezaliwa mwaka 90 tu lakin ameshafanya mambo makubwa tu.. Its a veery saaad news, ki ukweli nimesikitishwa sana na kifo cha jamaa...

Hii ndo taarifa iliyotolewa hapa chuon United States International University.
Hakuwa club but kulikuwa na party ya watanzania ndo wakamteka na kumuua..

Inshort ni wivu tu wa ndugu zetu kuona mtanzania mdogo anafanikiwa katika ardhi yao.View attachment 122831
wote tuna sikita na kifo chake hasa akiwa ni mdogo na bright future in life. Lakini nasikitika vile vile na comment zako, kwamba ni chuki na wivu wa watu Fulani bila kujua mazingira ya tukio Zima. Mtu katoka Disco au sehemu ya starehe usiku, hujui alikutana na nani baadae, labda vibaka nk. So usiharibu sifa nzuri ya marehemu kwa hadithi ya kizushi au your personal views or thinking
 
wote tuna sikita na kifo chake hasa akiwa ni mdogo na bright future in life. Lakini nasikitika vile vile na comment zako, kwamba ni chuki na wivu wa watu Fulani bila kujua mazingira ya tukio Zima. Mtu katoka Disco au sehemu ya starehe usiku, hujui alikutana na nani baadae, labda vibaka nk. So usiharibu sifa nzuri ya marehemu kwa hadithi ya kizushi au your personal views or thinking

Sawa Kaka... Noted.
 
Kenyans might have killed each other along political devides or tribal lines but never based on allegance to a different nationalism.Alas!We can't even differentiate between tanzanians and the people from the Kenyan coast because you people talk almost the same although it is widely known tanzanians have better swahili.There's so much conspirancy going on about the cause of his death which is yet to be determined but if kenyans are responsible then it must be among those death cases caused by the criminal activities very rampant in Nairobi at night which is something common in many big cities you can think of.But I feel for you our brothers and for the East African Community at large.May he rest in eternal peace,Amen!
 
Pole wafiwa wote, mungu awatie nguvu pia marehemu apate puumziko la milele.pia tumkumbuke mungu jamani tuliobaki
 
Kuna haja kubwa ya kujua chanzo cha kifo cha mtanzania mwenzetu Jerry Isaac huko ugenini, inaumiza sana R.I.P
Nakubaliana na wewe mkuu, kijana alikua ni nyota ambayo ingekuja kufanya mapinduzi makubwa/ mapinduzi chanya kwenye ukanda wa kilimo-biashara. Poor Jerry r.i.p umeacha changamoto. Ni maslahi ya mtu/watu yameguswa au ni chuki tu ya... Good thing you were blessed with the opportunity and you were in the process to utilize it for the sake of Men & Women in this region.
I declare interest, i didnt know you but i salute you!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom