tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,422
hivi milembe bado ipo ...?
Ipo mkuu sana tuuu
hivi milembe bado ipo ...?
Daughter mzima weye...!?
hahahahahahahaha kumbe!!!!!!!!!!!!!Hukujua jukwaa hili ni kwikwi??????
Hahahaaaa....mi mzima my dady. Sikuhizi unachelewa home nalala bila kukuona. Unakuaga nanani?
Ni nani anataka hayo hapa. hapa ni ndoa na talaka tu.
hahahahahaha umeona eeehBiashara za kutiana presha ndo hazifai
hivi milembe bado ipo ...?
Aaaah...! si Lady doctor huyu...!!!, ukisoma hapa futa wasione mama yako na Arushaone.
Ni nani anataka hayo hapa. hapa ni ndoa na talaka tu.
ukihama jukwaa hamisha na ndoa
Kuna mtu nilikuwa naongea naye sio wewe mpenzi!!!!