Breaking News: Wiliam Lukuvi awa mchungaji!!!!!?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Binafsi nimestuka kidogo baada ya kumuona kilaza Lukuvi akiwa amepiga pamba za kichungaji leo kwenye tarifa ya habari tbc ccm!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
mi mwenyewe nimemwona nikawa najiuliza siku hizi Lukuvi amekuwa mchungaji naona kavaa roman collar
 
binafsi nimestuka kidogo baada ya kumuona kilaza lukuvi akiwa amepiga pamba za kichungaji leo kwenye tarifa ya habari tbc ccm!

msiogope wa;a kushangaa kila jambo na wakati wake kama a.malima ameukana usilamu na kujiita joseph ernest nini
huyu mristo lukuvi asiwe appostle??sasa nisaaa ya ukombozi aijalishi uko sehemu gan una wazifa gani
 
nduka bora Mungu akunyime mali na pesa lakini si uffaha,u kaka...hili ni swali maana anajua waziri lukuvi si mchungaji kwa nini asiulize je n mchungaji labda anaitaji mshika sadaka mwenzio akapata kazi binafsi ajakosea !!kuuliza
 
Ng'ombe mlio si viwango vya JF, naomba picha ili nijilizishe na niwe na haki ya kutoa comment. otherwise hii ni hadithi ya chatu mtu.
 
ana rafik yake sana paroko wa parokia flan inaitwa migoli siku iz kamuhamishia kwao idodi anaitwa SALVATORE RICCERI...anampga kampani sana ktk kampeni,pengne ndo kamletea zawadi ya roman colar...ata mi nimemuona nkahs labda cjaona vizuri!
 
Back
Top Bottom