Breaking News: Wiliam Lukuvi awa mchungaji!!!!!?

Breaking News: Wiliam Lukuvi awa mchungaji!!!!!?

Labda anataka kuhamia chama cha wachungaji?
 
Za ufisadi hazimtoshi sasa anataka sadaka za wana kondoo. Pastor offerings
 
Dah nilimuona jana nikashangaa, kumbe wengi walishituka. Tumwite Pastor Lukuvi!!
 
tuwekeen picha

Lisemwalo lipo. Full stop!
Siyo kwamba: "Lisemwalo lipo, kama halipo basi laja". NO! LIPO!
Ni kweli alikuwa kavaa kichungaji - taarifa ya habari ya saa mbili usiku - nikajiuliza au ni gear za kujisafisha?
 
Mwenye picha atuonyeshe!ili na sisi tuone yaliyojili!!
 
Siasa hailipi maana anaona wenzie wanadrive Hammer na wanauza sura kila siku kwenye TV zetu... wengine wanapigana vijembe eti "Watashindana......."
 
Back
Top Bottom