Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 284
Ntapata Gongo......
Madam X nitajikongoja nae!!!!
Madam X nitajikongoja nae!!!!
Ntapata Gongo......
Madam X nitajikongoja nae!!!!
Vipi ntapata tuKonyagi tudogo japo tutano, ili nipate stimu ya kuongea Live na Remmy juu ya linalonisibu? Maana nikiwa sobber naona aibu mie!!
Umejuaje....kuwa niko vululuvululu, hafu nilikuwa nimeishiwa kinoma, si unajua tarehe mbaya..nikiwa nawaza nitatoka vipi Leo kwenye hii pati.Malizieni fasta bana...Lakini msisahau kuwapa Mlisho-Nyuma (feed-back) hao raia mliokuwa mnawafanyia tathmini!
Sa nishalipia pale saluni unakojitengenezea, waambie tu jina PiiJei, watakupiga masopsop kama kawaida!
bebiii napaka wanja nakujaaaaaaa
njoeni jamani mvunje jungu...vinywaji vipo mtakunywa mpaka muoge...mapochopocho ya kutosha hadi take away mtapata..come one come all....
Yummy ile poda iko wapi?
He he he he, afu leo hakuna neno "HAPANA' au tunaweza iita 'HAPANA FREE DAY'
kila unaloambiwa na jirani yako ni 'NDIO' tu
Asprin hebu kuja hapa ukague kama masega yameshakomaa?
Ndio niko jikoni Uncle, leo sio chai ni uji kabisa!Asee!
Popote ulipo gfsonwin come zis way bebito! Like never before!
Ila Mwali mbona simuoni haoa jamani ningependa aniletee kikombe cha kahawa huku high table, Mzee wa Rula ongea vzr na Asprin mambo yako yasijepinda!
Naomba nitambuebuwepo wa cacico, mwaaah na Catherine kwen hafla hii. Kongosho najua leo atatyonyesha yy hasa ni nani hakuna kusema NO, ila chonde chonde CUTE akija mtu asimsogelee sana bado tunamkuza, hajaanza hata kufunga
Kimey vipi naona kwa mbaaali katiba inatekelezeka mzee unatokelezea kama kawa!
Umekaa pande ipi sugar ya ODM hebu ukuye pande hii nikufanyie masaji.
Asee!
Popote ulipo gfsonwin come zis way bebito! Like never before!
Ila Mwali mbona simuoni haoa jamani ningependa aniletee kikombe cha kahawa huku high table, Mzee wa Rula ongea vzr na Asprin mambo yako yasijepinda!
Naomba nitambuebuwepo wa cacico, mwaaah na Catherine kwen hafla hii. Kongosho najua leo atatyonyesha yy hasa ni nani hakuna kusema NO, ila chonde chonde CUTE akija mtu asimsogelee sana bado tunamkuza, hajaanza hata kufunga
Kimey vipi naona kwa mbaaali katiba inatekelezeka mzee unatokelezea kama kawa!
Umekaa pande ipi sugar ya ODM hebu ukuye pande hii nikufanyie masaji.
bebiii napaka wanja nakujaaaaaaa
njoeni jamani mvunje jungu...vinywaji vipo mtakunywa mpaka muoge...mapochopocho ya kutosha hadi take away mtapata..come one come all....
Yummy ile poda iko wapi?
bombu kumbe??! Haya..ila mi nlidhan ningekupitia twende maana kwangu uchochoroni unaeza tokezea chooni kwa kina Juma..au sebuleni kwa kina Ali..na ivi mida itakua ya kufturu unaeza tolewa nduki mno..ansar suna mkali sana yule.Kadi yako nimepewa nikuletee, jiandae kabisa, ntakupuita hapo kwako
Wapenda safari kanin na mama kasema leo tuka mtembele na tulale sa sijui utakataabombu kumbe??! Haya..ila mi nlidhan ningekupitia twende maana kwangu uchochoroni unaeza tokezea chooni kwa kina Juma..au sebuleni kwa kina Ali..na ivi mida itakua ya kufturu unaeza tolewa nduki mno..ansar suna mkali sana yule.
We ni-Dip ukiwa rede nije...