BREAKING NEWS.....Vunja Jungu Kwa ODM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BREAKING NEWS.....Vunja Jungu Kwa ODM!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Asprin, Jul 20, 2012.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Maadam nimehakikishiwa na mtumishi wa Mungu huyu na nabii aliyebarikiwa,

  [​IMG]

  Kuwa ulabu siyo tu ni mzuri kwa afya ya binadamu, bali pia ni kadawa magonjwa mengi (sijui na ka Ukimwi?) Source?

  [​IMG]
  [​IMG]

  Na kwakuwa leo yanipasa nivunje jungu kabla sijamrudia Mola anisamehe zambi zangu zote na za wajukuu na wake zangu.... Nitakunywa weeeee, nitalewa weeee..... nitajirusha weeeee

  Basi mimi na wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA. Nikishirikiana na asali yangu Kongosho tunawakaribisheni wajukuu zangu wote kushiriki nasi kwenye vunja jungu. Vunja jungu hili litaambatana na kusheherekea harusi ya hommie wangu Kaizer anayemuoa gfsonwin. Ndoa hii itasimamiwa na Erickb52 na CUTE. Wajukuu zangu kutokea kushoto charminglady Kipipi, Catherine, Remmy ney kush na Madame B

  [​IMG]


  Kwaito kama kawaida kwa kwenda mbele likiongozwa na Preta na sweetlady

  [​IMG]

  Kuserebuka kama kawa kukiratibiwa na Bishanga na TANMO

  [​IMG]


  Karibuni sana wanaChit Chat tulivunjilie jungu mbali kule.......Ulinzi wa uhakika utakuwepo.

  [​IMG]

  Vigezo na Masharti kuzingatiwa....

  Imetolewa na ODM kwa hisani ya wake zake.
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  hivi Asprine u mzima wewe wa akili? naomba nikupime kweli kama wewe ni mzima kumtoa mdada wa watu analambwa ****** na inzi ndo nini? lol..............nitafutie Kaizer wangu jamani manake sasa dozi nimemabiwa eti mchana marufuku ni kwa usiku tu lol sinitakonda jamani???
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Baaabuuuu!!!!!!!! wewe ni mkali,mi ntaomba hisani ya kujirusha na huyo dada mburudishaji,maana, ndo raha yetu tulio mabachela!!!
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Upande wa burudani na ulinzi sawa,ila mbona vinywaji sioni babu!??? au nimelewa!?
   
 5. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Sasa hujatuambia ni viwanja vipi tunajirusha, nimefurahije? Maana ni full kujiachia.......mi najiandaa natoka ofisini sasa hivi..
   
 6. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  mi nikajua uko saluni, unajipodoa red kwa kwenda kansani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Vipi ntapata tuKonyagi tudogo japo tutano, ili nipate stimu ya kuongea Live na Remmy juu ya linalonisibu? Maana nikiwa sobber naona aibu mie!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaaa...PJ bana!
  Leo ni full vunja jungu utapata zaidi ya kumi.
  By the way, sabu Leo ni full bata wala usipate tabu
  We ninyakue tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Babu nakusalimia, amani ya bwana iwe nawe. Vunja jungu sa ngapi vile?
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Hahaha naona kuna MOD mnoko kashazitoa bana.... Hataki tuchitchat asee
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kiongozi leo wapi? Hivi sauti ya jangwa bado anatubu maombi mlimani?
   
 12. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Babu akikujibu unipitie twende tukaserebuke
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,312
  Trophy Points: 280
  Shem Kaizer..ya kweli haya??!
  Babu Asprin...mualiko wangu fav. Mjukuu u wapi??!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ODM tuanzie wapi Leo, Myfair au zeropub
   
 15. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Babuu kiwanja gani cha kuvunjia JUNGU? tujuze tujiandae mapemaa!
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama kawaida bado ako mlimani anafanya mafungo!
  Inakuwaje mkubwa, mwanaArusha-Wing hajambo huyo?...maana mzee umempiga server-ban kuingia huku!. ha ha haaa!
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Afadhali aisee, maana umenihakikishia kuwa nikirusha neno la kibinafsi halitaanzishiwa thread ya page 10 huku chit-chat!
  At least now iam breathing again!...huh!...Yaani nishalowana na jasho!
  Vp waheshimiwa wako safi?, na ushamalizana nao?...hakuna aliyekughasi aku kukunyanyasa kijinsia?
   
 18. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaha hujamuona mbona yupo kiongozi lol
   
 19. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nimemmiss mzee wa anonymous
   
 20. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Heheheeeee.....
  Unaogopa kujadiliwa eeh?
  Waheshimiwa wapo, hakuna unyanyasaji hapa
  Ndio tupo kwenye majumuisho.
   
Loading...