BREAKING NEWS.....Vunja Jungu Kwa ODM!

Mwa...mwambie tutaenda jpili mi nko uku tayar
Bb umeanza eeeh sa kwanin hujasema mapema basi na mim siend ngoja nchukue bajaji nije na zawad jee unayo au nipitie pale dukan nikachukue? Au tutawapa mkono tu wa pongez bana
 
Hivi beibe nasty kumbe ushafanikiwa kumchuna hommie wangu Mentor?. Wareva, hebu nijuze leo jumangapi?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu naona bado una hengova,hivi hujui kuwa @ mentor alikuwa anamzuga tu cathy ili ale hela ya @ beibe nasty ( she is rich baada ya kuachika kwa tajiri bishanga akapewa mgao na mahakama wa dola laki kazaa na nyumba masaki).
Kiukweli roho ya mentor ipo kwa @ king'asti.
 
Nachojua mimi Mentor na King'asti ni mtu na dadake. Sasaa? Dah. Hivi nani anajipakulia Catherine wangu?
 
Huo uhusiano ulianza lin mtu mzina ovyoo kabisaa wewe we si ndo ndoa ilihairishwa ukaachwa kwenye mataa ona haya basi
 
Nachojua mimi Mentor na King'asti ni mtu na dadake. Sasaa? Dah. Hivi nani anajipakulia Catherine wangu?

Dada halali wa mentor ni beibe nasty hao wengne mnaowataja siwajui na mpaka kuniamin ktk suala lake na cate huyo king'ast alikuwaga wifi yangu na ndo akaachika sasa inavoonekana hapa mpo nyuma na maendeleo ya familia yetu hata wewe babu aspirin tabia zako hujaziacha nakwaamviaje sasa mimi mimii ni jeshi lamtu mmoja
 
Aisee! Unampiga mkwala babu yako?
 
Back
Top Bottom