BREAKING NEWS.....Vunja Jungu Kwa ODM!

BREAKING NEWS.....Vunja Jungu Kwa ODM!

Heheheeeee.....
Unaogopa kujadiliwa eeh?
Waheshimiwa wapo, hakuna unyanyasaji hapa
Ndio tupo kwenye majumuisho.
Malizieni fasta bana...Lakini msisahau kuwapa Mlisho-Nyuma (feed-back) hao raia mliokuwa mnawafanyia tathmini!
Sa nishalipia pale saluni unakojitengenezea, waambie tu jina PiiJei, watakupiga masopsop kama kawaida!
 
Karibuni sana wanaChit Chat tulivunjilie jungu mbali kule.......Ulinzi wa uhakika utakuwepo.

attachment.php


Vigezo na Masharti kuzingatiwa....

Imetolewa na ODM kwa hisani ya wake zake.

nitakupitia ila unihakikishie usalama wangu. Si unajua tena Kimey!

Ewaaa sasa uvae kile kipedo nikipendacho eeh! Ukuhusu usalama usijhofu kabisaa ntakua mlinzi zaidi ya huyo hapo juu
 
Ha ha haaaaaa!
Mkuu, Labda kaja kivyengine!! Anewei, nitalifanyia kazi!
Nipe ishu za huko mkubwa...Vunja jungu ni vipi, au mambo yote kwa KIONGOZI ODM!

aisee vunja jungu kama odm alivyoaanda ndivyo itakavyokua! Lonar wapi bana
 
Ewaaa sasa uvae kile kipedo nikipendacho eeh! Ukuhusu usalama usijhofu kabisaa ntakua mlinzi zaidi ya huyo hapo juu
Hommie Kimey hapo uko kichama au kazi ya nje?
 
Last edited by a moderator:
Ewaaa sasa uvae kile kipedo nikipendacho eeh! Ukuhusu usalama usijhofu kabisaa ntakua mlinzi zaidi ya huyo hapo juu

orait, nitakuja na Yummy. Tukiwa watatu pia hakitaharibika kitu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom