Pro Mubarik wanalipwa $17.00 a day kwenda kupambana na anti Gov.
$17.00 ni nyingi sana hasa ukizingatia kwamba mtuanaishi kwa $1.00 kwa siku.
Hata sisi hapa kwetu tunao.
CCM wanakikosi cha askari wa kukodiwa (Mamruki ) Green Guard- GG kazi yao kubwa ni kuanzisha fujo na kupiga watu.
Ninafuatilia kwa makini sana issue ya Egypt.
Waliwakagua wakajua kwamba hawana Silaha kisha wao wakaja na silaha kuwapiga.
Funzo
1 Lazima ziwepo njia za kuwa na vitu vya kujihami wakati wa maandamano ambavyo si silaha katika mazingira ya kawaida.
Nimejifunza njia 2 za kuanzisha moto haraka bila kiberiti kwa kutumia Household items
2 Backup ya waandamaji ni muhimu sana, wakija wanakuja Full Mass Nondo (FMN)
3 Ku plan Move 3 -4 mbele Tactics za kufight Back, kuregroup na kuanza tena
4 Swiftness.- Upenyo ukupiatika mtu ni lazima zbanwe na kusambaratishwa