Breaking news@ Umeme upo kwenu

Breaking news@ Umeme upo kwenu

Niko city centre totoro yaaani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mpaka huku kawe makao makuu jkt no power...
Dah tanesco whyyyyyy?
 
Migomigo vibaka wametamalaki, mazingira yanawaruhusu.
 
hata huku pwani mkuranga giza tupu kunani tanesco tena?
 
TANZAGIZA full. Kuna waziri anaitwa MUONGO halafu ana pihechidii, anahusika na mambo ya electricty please mtumieni PM faster. Halafu mjue twiga na giza hili wanashindiliwaje kwenye ndege za uarabuni! Jamani shingo zao...
 
Huku kwetu chang'ombe ndio balaa. Jana nilishindwa kupiga bao la tatu kwa sababu ya joto. Naona leo wamekata mapema kwa hiyo inawezeka tukalala mzungu wa4
 
Tegeta hapa. Giza la kutosha tu. Ndugu yangu kanipigia kutoka segerea. Giza kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom