Thanks for this, Mimi ningekuwa Chadema, tusingependekeza tena jina wakati tuliona kilichotokea kwenye nafasi ya uspika, unless wameteua kutimiza tuu kanuni, Naibu Spika ni Job Ndugai.
Lazima tukubali kuwa bungeni bila wapinzani kuungana itakuwa ni kupoteza muda tu kwani wanawingi wa viti? Kama wangeungana ushindani ungekuwa kidogo thabiti otherwise its like we are fighting a loosing battle. Its like using SMG against M1 or ak 47 there is no tangible effect that your opponent can feel. Only a mere scratch!

Nafikiri Job Ndugai si mbaya. Lakini nawashangaa CHADEMA kumpitisha Akonai. Kwanini wasingempitisha mtu ambaye tayari ana uzoefu kidogo na mambo ya Bunge? Japo hata wangempitisha Zitto au Mbowe au hata Shibuda? Ni mawazo tu, msinitie vidole machoni.
duuu, ndiyo mambo yale ya uzoefu miaka 60, umri wa mwombaji usizidi miaka miwilimimi nahisi Chadema hawako serious na hii nafasi hata mimi nashangaa kumweka Akonai asiye na uzoefu na mambo ya bunge.
Lazima tukubali kuwa bungeni bila wapinzani kuungana itakuwa ni kupoteza muda tu kwani wanawingi wa viti? Kama wangeungana ushindani ungekuwa kidogo thabiti otherwise its like we are fighting a loosing battle. Its like using SMG against M1 or ak 47 there is no tangible effect that your opponent can feel. Only a mere scratch!
Lazima tukubali kuwa bungeni bila wapinzani kuungana itakuwa ni kupoteza muda tu kwani wanawingi wa viti? Kama wangeungana ushindani ungekuwa kidogo thabiti otherwise its like we are fighting a loosing battle. Its like using SMG against M1 or ak 47 there is no tangible effect that your opponent can feel. Only a mere scratch!
Mbowe, zitto na shibuda ni wakubwa sana kuiwezo kufanya kazi chini ya anna ma-kindaNafikiri Job Ndugai si mbaya. Lakini nawashangaa CHADEMA kumpitisha Akonai. Kwanini wasingempitisha mtu ambaye tayari ana uzoefu kidogo na mambo ya Bunge? Japo hata wangempitisha Zitto au Mbowe au hata Shibuda? Ni mawazo tu, msinitie vidole machoni.
KamandaChadema lazima wafanye hivyo ili kuanza kuwatangaza watu wao.
Mie sijawahi hata kumsikia huyu jamaa ila sasa watu wengi watamfahamu.
Inabidi kujenga sura nyingi zinazofahamika kwa Chadema. Wakifanya hivyo, hakuna wanachokosa.