Breaking News: Mkataba wa Kichuia na Msimbazi umeshavunjika Ijumaa. Azamu na Yang

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Mchezaji machachari kichuia imethibitika kuwa mkataba wake umevunjika ijumaa baada ya team yake ya wekundu kushindwa kutimiza takwa muhimu kuwa mpaka ifikapo tarehe 3 wawe wamemkabidhi nyumba yake ambayo ilikuwa inatakiwa ijengwe huko kitunda.

Inasemekena viongoz wa team yake wamekuwa wakimwambia inaendelea vizuri na kumtumia picha ambazo kumbe zilikuwa ni uongo. Mchezaj huyo kupitia kwa mwanasheria wake wameanza mkakati wa haraka wa kufuata taratibu hasa baada ya kuwa team ya azamu nayo kumuhitaj na mahasimu wakubwa wa wekundu nao kutaka kumchukua kuwakomoa hasa baada ya kuwachukulia mchezaj wao.

Mwandishi alijaribu kutaka kuongea na mchezaj huyo ambaye aligoma na kutaka mwandishi aongee na mwanasheria wake. Huku akilaani ubabaishaji mkubwa wa viongoz wa soka nchini.

Source mwanaanchi leo.
 
Wewe kweli chizi maarifa dah......ebu fanya editing ya heading yako kwanza uandishi gani mbovu namna hii

Kichuia ndiyo nani hapa bongo
Azamu ipo nchi gani hapa afrika mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji machachari kichuia imethibitika kuwa mkataba wake umevunjika ijumaa baada ya team yake ya wekundu kushindwa kutimiza takwa muhimu kuwa mpaka ifikapo tarehe 3 wawe wamemkabidhi nyumba yake ambayo ilikuwa inatakiwa ijengwe huko kitunda.

Inasemekena viongoz wa team yake wamekuwa wakimwambia inaendelea vizuri na kumtumia picha ambazo kumbe zilikuwa ni uongo. Mchezaj huyo kupitia kwa mwanasheria wake wameanza mkakati wa haraka wa kufuata taratibu hasa baada ya kuwa team ya azamu nayo kumuhitaj na mahasimu wakubwa wa wekundu nao kutaka kumchukua kuwakomoa hasa baada ya kuwachukulia mchezaj wao.

Mwandishi alijaribu kutaka kuongea na mchezaj huyo ambaye aligoma na kutaka mwandishi aongee na mwanasheria wake. Huku akilaani ubabaishaji mkubwa wa viongoz wa soka nchini.

Source mwanaanchi leo.
Habari hii haipo popote,Uache uzushi na habari ambazo hazina chanzo chochote ndugu.
 
haohao ndio walizusha simba imefungwa saba mpaka leo wameshindwa kuleta uthibisho hii cyber crime iwashugurikie hawa watu wamezidi uzushi
 
Mchezaji machachari kichuia imethibitika kuwa mkataba wake umevunjika ijumaa baada ya team yake ya wekundu kushindwa kutimiza takwa muhimu kuwa mpaka ifikapo tarehe 3 wawe wamemkabidhi nyumba yake ambayo ilikuwa inatakiwa ijengwe huko kitunda.

Inasemekena viongoz wa team yake wamekuwa wakimwambia inaendelea vizuri na kumtumia picha ambazo kumbe zilikuwa ni uongo. Mchezaj huyo kupitia kwa mwanasheria wake wameanza mkakati wa haraka wa kufuata taratibu hasa baada ya kuwa team ya azamu nayo kumuhitaj na mahasimu wakubwa wa wekundu nao kutaka kumchukua kuwakomoa hasa baada ya kuwachukulia mchezaj wao.

Mwandishi alijaribu kutaka kuongea na mchezaj huyo ambaye aligoma na kutaka mwandishi aongee na mwanasheria wake. Huku akilaani ubabaishaji mkubwa wa viongoz wa soka nchini.

Source mwanaanchi leo.
Tulia uandike vzr acha kiherehere
 
Back
Top Bottom