Tatizo ni JK na sio wauza mafuta. Kuchoma kituo cha mafuta ni kosa la jinai hivyo wananchi wasijaribu wakati the common problem ni poor JK administration.
Kuna tetesi kuwa kituo cha mafuta cha banana kinataka kuchomwa moto na
wananchi walio na gadhabu ya mafuta.
Tunaomba walio karibu watupashe zaidi.
Nawasilisha