Breaking News: Kapt. Komba atafutwa na Polisi

Hivi ni nini maana ya Kampeni?... Mkijua hilo maneno yenu marefu yatapungua

Komba hakuwa anafanya kampeni, alikuwa anafanya vurugu.
Soma posti za "Uchaguzi wa Kiteto" upate kuelewa tunaongelea kitu gani!
 
Mwanakijiji,

Pamoja na hayo yote mimi naiiita danganya toto tu. Hakuna kitu atafanywa huyu bwana zaidi ya kuchukuliwa maelezo then imetoka. Let us wait and see and Bravo for the info

umesikia mzee mwanakiji we achana nao hizo za komba kukamatwa ni za kweli ata mm nilisikia pia ila kuna shaka kama kweli wanaweza kumchukulia atua yeyote ya kisheria,si unajua ccm wanavyombeba yule jamaa.tusubiri tuone lkn

Komba hakuwa anafanya kampeni, alikuwa anafanya vurugu.
Soma posti za "Uchaguzi wa Kiteto" upate kuelewa tunaongelea kitu gani!


Jamani ee, huyo Mheshimiwa Komba bado hajakamatwa tu? Mbona kila siku nilikuwa namwaona Bungeni kupitia TBC1 Live?

Kuna mwenye clue kuwa Polisi bado wanamtafuta au wameshindwa kumpata?
Au Polisi inabidi wakumbushwe? Mtandao wa Polisi nilpostieni hapa ili niwaambie Polisi mahali ambapo Mh. Komba alipo.
 
Mod hivi hii habari mpaka sasa hivi ni breaking News?

Hapo utaona jinsi mnavyo angalia upande mmoja tu..Mnaangalia habari zinazohusu CHADEMA na kusahau zingine..ingekuwa Breaking News ya kuibomoa CHADEMA mngekuwa wa kwanza kuja kubadili title
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…