Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Habari zinazoingia taratibu zinasema kuwa yule mpiga debe maarufu wa CCM Kapt. John Komba anatafutwa na Polisi kutokana na kufanya vurugu kwenye mkutano wa Upinzani. Kesi ya jinai imefunguliwa mjini Kibaya huko Kiteto na baadhi ya viongozi wa upinzani. Kapt. Komba alivamia mkutano wa Chadema ambapo alilazimishwa kushushwa jukwaani na FFU. Kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi ya 1985 (as ammended) ni marufuku kwa mtu kuingilia kampeni za uchaguzi wa chama kingine.

kweli tu Dito alikua katoroka kazini anazurura kauwa na kaachiwa yuko huru! Je huyu alikua kazini kwake, hapo ataachiwa na sifa juu angalau zitakua chini chiniHivi mmesahau ya Dito mara hii????????????
Nilisema kule kwenye klhnews.com,kuwa ni aibu kubwa na hatari sana kwa mtu ambaye anahusika moja kwa moja na utungaji wa sheria za nchi hii na yeye ndiye anakuwa wa kwanza kuzivunja,hii ni hatari sana. Hizi ndizo gharama tunazoingia watanzania kupeleka bungeni watu wasiokuwa na sifa kama siyo shule,ni hatari sana hii
Najiuliza,hivi angekuwa ni mbunge wa upinzani ndiyo kafanya vituko hivi,ingekuwaje? Nahisi vijana wa IGP mwema,wangembeba juu juu na kujichukulia ujiko,hatushangai,huyu huyu komba alitoa maneno yanayoonyesha mazingira ya kutumia vyombo vy dola kuilinda CCM nanukuu"tumekwisha fanya mipango kuhakikisha helkopita ya CHADEMA haitui hapa,ikitua basi msiichague CCM",unapata picha gani? Huyu ni mtu ambaye ni Ziro nyingine ndani ya bunge

Kwa nini tukate tamaa mapema kwamba watamfanya nini Kapt wa nyimbo za SISIEM?
Atafunguliwa mashitaka ya kufanya vurugu ktk uchaguzi mdogo wa kiteto na ana kesi ya kujibu hivyo ataenda kujitetea mahakamani kwenye uwanja huru.Hapo ndipo Viongozi wa upinzani watafute wanasheria kusimamia,Hata kama kesi itaahairishwa miaka 7.