Breaking News: Dr. Richard Lyimo Hatunaye tena!

Mzuri wa sura au umbo? Uzuri wa mtu ni kutokana na yale aliyokufanyia wewe binafsi usisifu kama mzembe. Mfano je kama alikua anatoa mimba? Vile vitoto vilivyonyofolewa navyo vibebe unafki wa kusifu ujinga

..kama unayo akili yako timamu na u mwadilifu wa hata kiasi tu chukulia ikiwa wewe ndiwe uliyefikwa na msiba wa namna yeyote ya mtu anayekuhusu kama mzazi,ndugu,jamaa na hata rafiki halafu unapewa bezo ama maneno ya kebehi kama unayoyatoa wewe ukiyasoma maneno kama hayo na ukiwa ndani ya masikitiko ya kuondokewa na umpendaye utajisikia vipi? Tujifunze ni maneno gani ya kuwaandikia wenzetu na kwa wakati gani.mwisho namalizia kwa kuwapa pole Nyingi sana Wale wote walioguswa na msiba huu mungu awape nguvu ya kuvumilia na kuvuka kipindi hiki kigumu Bwana ampe pumziko la amani...amina.
 
utoto unakusumbua, kakojoe ukalale mbwa wee

Mara utoto unanisumbua mara mbwa mimi mara nikakojoe nikalale tatizo nyie watz mnaogopa sana kufa na mnakuwa wanafki sana mtu akifa mnampa masifa ya kijinga kuweni wakweli kifo akinyenyekewi wala akibembelezwi kikija ni kama upepo wa jk kinazoa tu
 
..kama unayo akili yako timamu na u mwadilifu wa hata kiasi tu chukulia ikiwa wewe ndiwe uliyefikwa na msiba wa namna yeyote ya mtu anayekuhusu kama mzazi,ndugu,jamaa na hata rafiki halafu unapewa bezo ama maneno ya kebehi kama unayoyatoa wewe ukiyasoma maneno kama hayo na ukiwa ndani ya masikitiko ya kuondokewa na umpendaye utajisikia vipi? Tujifunze ni maneno gani ya kuwaandikia wenzetu na kwa wakati gani.mwisho namalizia kwa kuwapa pole Nyingi sana Wale wote walioguswa na msiba huu mungu awape nguvu ya kuvumilia na kuvuka kipindi hiki kigumu Bwana ampe pumziko la amani...amina.

Hata ukisema maneno yanayotoka na dhahabu ukifa umekufa. 'Awataona,awatasikia,awatakula,awataongea,awatalia,awatacheka,awatatembea,awatatamani,awatahisi ni pumziko la milele haf mnadanganyana kuna ufufuo. Wana familia poleni sana nendeni malangu kwa usalama kampumzisheni dakta
 
Kimara Mwisho(Bakery)
Mbezi Beach(Samaki)
Kurasini(Wapo Mission Centre)

Kote huko utazipata zahanati za Good Samaritan mkuu

kifo akina huruma kudadeki wala upendeleo kikija uwa akina tabia ya ku turn back lazima ki hit palipo kusudiwa.hivi vituo vyake ndio vinatoa watu SUMU MWILINI na watu kibao washapatiwa huduma,kweli mganga ajigangi.poleni wafiwa
 
Acha kiherehere wewe. Una haraka gani ya kuposti humu jf? Suppose ndugu zake wa karibu hawajapata taarifa? Watu wengine uwezo wa kufikiria upo mwisho wa pua zao!!!

kama mke wa dr kashakua mmewe kasha kufa unataka nani afichwe tena,kama watoto wataowa na kuolewa wataondoka home na kumuacha maza anapambana na life,ndugu kila mtu yupo kwao watakuja na kuondoka wacha uwoga,taarifa za kushtua za msiba ni kifo kinachotokea ktk ajali,ila kama mtu yupo hosptali mnakuwa mnategemea lolote na muda wowote
 
pole sana Fredrick kwa kuondokewa na Baba yako mpendwa......RIP Dokta.
 
Habari zilizonifikia kutoka India akilikokuwa amepelekwa kwa matibabu zaidi zinasema Daktari huyu wa pale Ocean Road na mmiliki wa Samaritan Dispensary ameaga dunia leo mchana huko India. R.I.P. Dr. R. Lyimo.

SOURCE: Mke wa marehemu.[/QUOTE

RIP Dr Lyimo, sina namna ya kuelezea kwani nimefahamiana na Dr Lyimo mwezi march 2012 wakati marehemu baba yangu alipokuwa anaumwa na kugundulika ana Cancer nikamtafuta nikiwa na vipimo vya baba yangu kwa ushauri zaidi. nilimkuta katika dispensary yake ya good samaritan. Aliongea nami vizuri sana tena kwa upendo mkubwa. Na ushauri wa wenye experience kutoka kwake mwenyewe. Dr Lyimo alikuwa na uzima wenye ushuhuda kamili kuwa Mungu ana miujiza. Mungu kazi yako haina maswali, tunaamini atapumzika kwa amani. Amen
 
Habari zilizonifikia kutoka India akilikokuwa amepelekwa kwa matibabu zaidi zinasema Daktari huyu wa pale Ocean Road na mmiliki wa Samaritan Dispensary ameaga dunia leo mchana huko India. R.I.P. Dr. R. Lyimo.

SOURCE: Mke wa marehemu.

nilidhani dr. limo wa udsm, sociology department. kunbe daktar? kweli mganga hajigangi. r.i.p dr.
 
Hivi unaweza kuamini huyo Dr Simfahamu ila nime guess tuu kwasababu nimezoea kusikia marehemu walikuwa watu wazuri sana.
ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! aiseeee
pumzika kwa amani DR
 
Habari zilizonifikia kutoka India akilikokuwa amepelekwa kwa matibabu zaidi zinasema Daktari huyu wa pale Ocean Road na mmiliki wa Samaritan Dispensary ameaga dunia leo mchana huko India. R.I.P. Dr. R. Lyimo.

SOURCE: Mke wa marehe
Ri.p
 
Back
Top Bottom