Breaking News: Chadema Kupata Mtoto!

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Hii sio udaku tafadhali.
Gazeti la Mtanzania leo Jumamosi 30/04/2011 linaongozwa na habari hiyo, " Slaa Kidume"!
In detail, linasema kuwa mahakama Arusha ilifahamishwa jana kuwa Bi. Josephine Mushumbusi (First Lady) anatarajiwa kujifungua mtoto kwani ana mimba ya miezi nane na wiki tatu!
Huyo mtoto si atakuwa mpiganaji through and through?!
Mi napendekeza jina lake liwe BAVICHA!
 
Duh hii kali ngoja niwasubiri wenyewe watakuja kuparura.Ningekuwa mshauri wa Dr Slaa ningemshauri afunge uzazi huyo mtoto atakuwa mjukuu au mtoto.
 
Kwa hiyo huyu ni mtoto wa CHADEMA au umekosa cha kuandika.....
 
cha maana alipwe fidia tu ya usumbufu. slaa na mm hatutaki siasa za visasi!
 
Wa ccm wameathirika hakuna kuzaa labda kwakuwa mmechapa kikombe!Chadema nguvu iko je ccm?
 
Hachen wivu mpen hongera daktari wetu slaa mambo ya mtoto au mjukuu hayakuhusu hacha umbea mtoto wa kiume aufah tuwaachie dada zetu la sivyo utaingilia kaz za madada in deeply
 
I don't see what is breaking news in Josephine expecting a child. Slaa is not that old. I have read his C.V. and any JF member doubting can ask a doctor.
 
Duh hii kali ngoja niwasubiri wenyewe watakuja kuparura.Ningekuwa mshauri wa Dr Slaa ningemshauri afunge uzazi huyo mtoto atakuwa mjukuu au mtoto.

Dr.Slaa saiz ana 63 years, hivyo Mungu akijalia katoto katakuwa secondary wakati Baba akiwa na 80 years??its not a joke!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom