Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,162
Reaction score
27,197
Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na kupelekea vifo vya watu 20 huku mamia wakiwa wamenasa kwenye vifusi. Juhudi za uokoaji zinaendelea..
Screenshot_20250624-100806.png
Screenshot_20250624-100927.png
 
Itakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?
Netanyahu alisema amepata intel kuhusu mahali ilipo, hana tena mpango wa kufanya kitu kuhusu hii kitu!? Sio tishio tena kwa usalama wa taifa teule la Israel?

Vipi kuhusu regime change!?

Aaah, Netanyahu ametuangusha sana!!!
 
Itakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?

Netanyahu alisema amepata intel kuhusu mahali ilipo, hana tena mpango wa kufanya kitu kuhusu hii kitu?

Vipi kuhusu regime change!?

Aaah, Netanyahu ametuangusha sana!!!
hii vita haikuwa kwa ajili ya urani bali ni mambo ya kisiasa tu
 
Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na kupelekea vifo vya watu 20 huku mamia wakiwa wamenasa kwenye vifusi. Juhudi za uokoaji zinaendelea.. View attachment 3381147View attachment 3381148
Amechakazwa na waarabu. Mpuuzi mkubwa!
 
Benjamin bhana angetaka vita na waajemi ilibidi ajiandae sana na ungepita muda toka atoke kwenye vita ingine hao jamaa ni wagumu nadhani kuliko watu wote kwa ukanda wa hizo Nchi ikiwa Trump kanusa harufu ya hatari na kusitisha vita ujue hao jamaa sio watu..
 
Itakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?
Netanyahu alisema amepata intel kuhusu mahali ilipo, hana tena mpango wa kufanya kitu kuhusu hii kitu!? Sio tishio tena kwa usalama wa taifa teule la Israel?

Vipi kuhusu regime change!?

Aaah, Netanyahu ametuangusha sana!!!
Iran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!

Pia hutakaa usikie Iran anafadhili magaidi tena
 
Itakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?
Netanyahu alisema amepata intel kuhusu mahali ilipo, hana tena mpango wa kufanya kitu kuhusu hii kitu!? Sio tishio tena kwa usalama wa taifa teule la Israel?

Vipi kuhusu regime change!?

Aaah, Netanyahu ametuangusha sana!!!
Iran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!

Pia hutakaa usikie Iran anafadhili magaidi
 
🇮🇱🇮🇷Israel officially confirmed the ceasefire.

The government statement said that Prime Minister Benjamin Netanyahu convened the cabinet last night, along with the defense minister, the chief of staff and the head of Mossad, to report that "Israel has achieved all the objectives of the operation and more."

"Israel has eliminated a dual, immediate existential threat - both in the nuclear and ballistic missile realms.

In addition, the IDF achieved complete control over Tehran's airspace, inflicted serious damage on the military leadership, and destroyed dozens of Iranian central government facilities. Israel thanks President Trump and the United States for their defense support and participation in eliminating the Iranian nuclear threat. In light of achieving the operation's objectives and in full coordination with President Trump, Israel agreed to the President's proposal for a bilateral ceasefire.

Israel will respond harshly to any violation of the ceasefire," the government said.
 
Itakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?
Netanyahu alisema amepata intel kuhusu mahali ilipo, hana tena mpango wa kufanya kitu kuhusu hii kitu!? Sio tishio tena kwa usalama wa taifa teule la Israel?

Vipi kuhusu regime change!?

Aaah, Netanyahu ametuangusha sana!!!
Funika kombe mwanaharamu apite!
Israel imeumizwa kwelikweli hasa tukizingatia kuwa hawajazoea kupigwa lakini itafanya nini zaidi wakati nguvu kubwa waliyoitegemea imeshatumika!?
Si Israel wala marekani ambao wananguvu ya ziada inayoweza kuwasaidia zaidi,kilichobaki ni kurudia rudia tu hawana jipya tena!.
 
Back
Top Bottom