Lakin GOT ilitazamwa sana kuliko series yoyote, ili kuwa pirated sana kuliko series yoyote actually kila season yake ilikuwa inajvunjia rekodi ya season iliyopita ambayo nayo ilikuwa imevunja rekodi. GOT ndo ya kwnza na ina rating ya 6.4 kwa viewersUkumbuke kuwa game of throne haikuwai kubeba tuzo kipind breaking bad bado ipo hewani.....tuzo zilibebwa baad ya breaking bad kuisha fuatilia......ila breaking bad ni machine hata ukiangalia breaking bad inarate kubwa sana kuliko game of throne.
Sent using Jamii Forums mobile app
It is the story of the seven kingdoms inahitaji u concentrate sana ili kuielewa maana ina story nying ambazo zinakuja kuungana mwishoniGOT ni uzinzi tu
I knowIt is the story of the seven kingdoms inahitaji u concentrate sana ili kuielewa maana ina story nying ambazo zinakuja kuungana mwishoni
Halafu huwa yupo serious sana aliigiza vizuri sana kwenye series inaitwa revolution japo iliishia kati.
Game of thrones ni nzuri lakini imeahiribiwa na yale mambo ya uchawi uchawi na miujizaKwahiyo sisi wa Game of Thrones unatuambiaje.?
Maana hii ndio the greatest show ever made in the world.
Akili iliyotumika ni Einstein + Tesla + Davinci
Mbona hayo ni kidogo sana ukilinganisha na series nzima, hayafikii hata 0.1%hii nilisikiaga ni nzuri ajabu nikasema ngoja niione 2015 kama sikosei dah nikakutana mambo ya porn live, ushoga na group sex dah nikaishia hapo hapo
Sasa hiyo epispde moja ndio inafanya series nzima kuwa mbaya? Au series zako ni zile zenye action mtu mmoja ansua watu 30?Haya mambo nadhani ni namna mtu anavyoona. Baada ya kusikia wadau wakiisifia sana breaking bad, nimeitafuta series zote 5 Ila nimeona ni ya kawaida sana. Kuna episod moja karibu dk 20 jamaa wanakimbizana na nzi kwenye lab yao.
Nnazo season zite full sjui why another year hii sjaangalia..Wasaalam ndugu zangu,
Mimi ni mfuasi wa tamthilia hasa ambazo watu wanatumia akili nyingi lakini pia zinazozunguzia maisha halisi ambayo jamii tunayoishi inaweza guswa kwa namna moja ama nyingine.
Basi iko ivii Kama hukuwai kuangalia breaking bad basi jua ktk maisha yako ya ungaliaji wa tamthilia(series) basi umekosa kitu cha msingi sana yani ni sawa na wali ukose chumvi hauwezi ukalika.
Kitika hii tamthilia utajifunza mengin ikiwemo,
>unaweza tumia elimu uliyonayo bila kutegemea msharaha ukabuni njia ya kukuingizia pesa km tulivyoona kwa mr white( Heisenberg aka the meth cooker of all time) japo yeye aliitumia kwa njia isiyo sahihi ila aliweza tumia elimu yake ya kemia kupika madawa ya kulevya(blue meth) na kumpa utajiri mkubwa sana unajua kwanini alijiita jina la Heisenberg??!!!...... Hivyo basi wasomi wa vyuo mnaweza tumia elimu mlizonazo mkabuni project mbalimbali za halali mkapata kipato safi.
>wanasheria sometimes wanaweza kuwasaidia waarifu kwa kuwapa ushauri ambao unaweza fanikisha uhalifu ufanyike bila mamlaka za ulinzi kujua km ilivyoonekana kwa bwana "better call saul"(mwanasheria mwenye akili na mipango kuwai kuonekana ivi karibuni).
Better call saul ni mastermind(planner) amenogesha sana breaking bad sometimes nahisi bila yeye mr white kuna baadhi ya mission angelifeli sana,uyu bwana hakuwai shindwa kesi yoyote mahakamani hata km utakutwa na hatia he can defend and clear your mess.
>Jesse Pinkman alikuwa ni mwanafunzi wa kemia wa Mr white kijana aliefukuzwa kwao kwa kutukutu wake lakini hakufeli maisha ya mtaa alipanda kwa kupika white meth na kuuza ili kuweza kuishi mtaa mpk siku alipokutana na mr white na kuongea nae na kupanga kuanza ushirikiano(kupika meth)........alifanikiwa kutemgeneza fedha nyingi sana mpk akaamua kununua nyumba ambayo wazazi wake walikuwa wanaishi kulipa km kisasi maana walimfukuza hapo awali.Funzo kupitia character ya bwana Jesse ni kuwa unaweza ukadrop out shule na ukatoboa ila kwa njia ya halali.......
Nb:nimejitahidi kuelezea juu juu ila maelezo yangu hayatoshi kuelezea hii movie maana ni moto mkali
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mbona unankata stim ya kuicheki ah ah ah dahHaya mambo nadhani ni namna mtu anavyoona. Baada ya kusikia wadau wakiisifia sana breaking bad, nimeitafuta series zote 5 Ila nimeona ni ya kawaida sana. Kuna episod moja karibu dk 20 jamaa wanakimbizana na nzi kwenye lab yao.
Hahahaha. Hapana mkuu itafute tu ucheki. Ukifika hapo una forward. Kuna episod nyingine muhuni Jesse amenunua bonge la mziki. Karibu dk 5 watu wanacheza mziki ndani kwa jamaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mbona unankata stim ya kuicheki ah ah ah dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaangalia zote bt nmefaidi sana series..Kama mtu hajaangalia series zifuatazo basi hajafaidi series
1. Breaking bad
2. The wire
3. The sopranos
Haina noma mkuu..nta deal nayo hiiHahahaha. Hapana mkuu itafute tu ucheki. Ukifika hapo una forward. Kuna episod nyingine muhuni Jesse amenunua bonge la mziki. Karibu dk 5 watu wanacheza mziki ndani kwa jamaa.
Pamoja na changamoto hizo lakini ni series nzuri (ingawaje kwangu is not the best).
Nnazo season zite full sjui why another year hii sjaangalia..
Nshakua addicted na intelligence series,hivi hii ni kali kweli mkuu nijifungie nayo weekend
Sent using Jamii Forums mobile app
Strikeback hutojutaMkuu nitakuomba uzishushe Intellgency series hapa maana ndo ulevi wangu huo ili nianze kuzisaka.
Nitaitafuta.Strikeback hutojuta
Na Designated SurvivorNitaitafuta.